Imepokewa kutoka kwa Jaabir bin Abdillah – Allah awawiye radhi – ya kwamba Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Nimepewa mambo matano ambayo hajapata kupewa yeyote kabla yangu; Nimenusuriwa kwa…
Category: Hadithi Ya Wiki
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 87)
Imepokewa kutoka kwa Umar bin Al-Khatwaab – Allah amuwiye radhi-amesema: Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye tawadha vile itakiwavyo, kisha akasema (akaomba baada yake dua hii): Ash-hadu an laa…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 86)
Imepokewa kutoka kwa Uthmaan bin Affaan-Allah amuwiye radhi-kutoka kwa Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye ukamilisha udhu kama alivyo amrishwa na Allah, basi swala tano (anazo ziswali kwa udhu…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 85)
Imepokewa kutoka kwa Uthmaan bin Affaan-Allah amuwiye radhi-amesema: Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye tawadha kwa ajili ya swala, kisha akapiga hatua kwenda kuswali swala ya faradhi, akaiswali pamoja…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 84)
“Yaepukeni mambo matatu yenye kuleta laana; kwenda haja kwenye mapito ya maji, katikati ya njia na penye kivuli”. Abu Daawoud [26], Ibn Maajah [327] na Ahmad [01/299]-Allah awarehemu.
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 83)
Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira-Allah amuwiye radhi-ya kwamba Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakapo tawadha mja muislamu – au muumini – akaosha uso, litatoka usoni mwake pamoja na maji…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 82)
“Twahara ni nusu ya Imani, na Alhamdulillaah inajaza mizani (ya amali za mja). Na Sub-haanallah na Alhamudilillaah zinajaza – au inajaza kilichopo baina ya mbingu na ardhi. Na swala ni…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 81)
“Siku bora zaidi iliyo chomozewa na jua ni siku ya Ijumaa; ndani ya siku hiyo Allah alimuumba Adam (baba yetu), ndani yake alimkubalia toba yake, ndani ya siku hiyo akiteremshwa…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 80)
“Mbora wa watu ni yule mwenye moyo msafi (ulio salimika) na ulimi ulio mkweli. Wakauliza Maswahaba: Mwenye ulimi ulio mkweli tunamjua, basi ni yupi yule mwenye moyo msafi? Akajibu: Huyo…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 79)
“Bora ya amali ni wewe kufariki Dunia na ilhali ulimi wako u maji maji kwa kumdhukuru Allah”. Sahih Al-Jaami’i-Allah amrehemu.