AYA YA WIKI (JUMA LA 87)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA:

Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “NAYE NDIYE ALIYE ZIPELEKA BAHARI MBILI, HII TAMU MNO, NA HII YA CHUMVI CHUNGU. NA AKAWEKA BAINA YAO KINGA NA KIZUIZI KIZUIACHO. NAYE NDIYE ALIYE MUUMBA MWANAADAMU KUTOKANA NA MAJI, AKAMJAALIA KUWA NA NASABA NA USHEMEJI. NA MOLA WAKO MLEZI NI MUWEZA”. Al-Furqaan [25:53-54]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *