AYA YA WIKI (JUMA LA 86)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA:

Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu:

“JE! HUONI JINSI MOLA WAKO MLEZI ANAVYO KITANDAZA KIVULI. NA ANGELI TAKA ANGELI KIFANYA KIKATULIA TU. KISHA TUMELIFANYA JUA KUWA NI KIONGOZI WAKE. KISHA TUNAKIVUTIA KWETU KIDOGO KIDOGO. NAYE NDIYE ALIYE KUFANYIENI USIKU KUWA NI VAZI, NA USINGIZI KUWA MAPUMZIKO, NA AKAKUFANYIENI MCHANA KUWA NI KUFUFUKA. NAYE NDIYE ANAYE ZITUMA PEPO KUWA BISHARA NJEMA KABLA YA REHEMA YAKE, NA TUNAYATEREMSHA KUTOKA MBINGUNI MAJI SAFI. ILI KWA HAYO TUIHUISHE NCHI ILIYO KUFA, NA TUWANYWESHE WANYAMA NA WATU WENGI TULIO WAUMBA”. Al-Furqaan [25]:45-49

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *