HADITHI YA WIKI (JUMA LA 87)

Imepokewa kutoka kwa Umar bin Al-Khatwaab – Allah amuwiye radhi-amesema: Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye tawadha vile itakiwavyo, kisha akasema (akaomba baada yake dua hii): Ash-hadu an laa ilaaha illal-laah wahdau laa shariika lahuu, wa ash-hadu anna Muhammadn ‘abduhu wa rasuukuhu. Allaahummaj ‘alniy minat-tawwaabiina, waj ‘alniy minal-mutatwahiriina. (Atakaye soma dua hiyo) atafunguliwa milango minane ya pepo, aingie peponi kupitia mlango autakao kati ya hiyo”. Abu Daawoud [169], Nasaai [148], Tirmidhiy [55], Ibnu Maajah [470] na Ahmad [01/19]-Allah awarehemu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *