SOMO LA TANO-KUTAYAMMAMU

i) WEPESI WA UISLAMU NA MAANA YA KUTAYAMAMU Tumekwishajua kutokana na maelezo ya masomo yaliyopita kwamba udhu ni sharti ya kusihi kwa swala, tawafu (ibada ya kuizunguka Al -kaabu), kuushika…

MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE HEDHI

1. Kuswali. Kwa ushahidi wa hadithi hiyo ya Fatmah Bint Abiy Hubaysh tuliyoitaja hapo katika Istihaadha. Imepokelewa riwaya kutoka kwa Fatmah Bint Abiy Hubaysh – Allah amuwiye radhi – kwamba…

HEDHI

a) MAANA YA HEDHI Hedhi katika lugha ya kiarabu, maana yake ni KUCHURIZIKA. Ama hedhi kwa mtazamo wa sheria ni DAMU YA MAUMBILE yaani damu hii ni sehemu/ni katika jumla…

MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE JANABA

Mtu akipatwa na janaba kwa maana ya janaba kama tulivyoeleza katika maelezo yetu ya awali yanamuharimikia kwa mujibu wa sheria mambo yafuatayo:-1. Kuswali swala ya fardhi au ya sunnah. Hili…

SOMO LA NNE-JOSHO/KUKOGA

i) MAANA YA JOSHO: Neno JOSHO/KUKOGA ni matokeo ya tafsiri ya neno la kiarabu GHUSLU. Neno hili lina maana mbili; ya kilugha na kisheria. Kwa mtazamo wa kilugha josho/kukoga ni…

UDHU WA MWENYE UDHURU

Tunakusudia kusema kwa istilahi (wenye udhuru) wale watu ambao ambao wana maradhi yanayowafanya wasiweze kuuhifadhi udhu wao kama wanavyoweza watu wengine katika hali ya kawaida. Hawa ni pamoja na mtu…

HALI AMBAZO UDHU HUSUNIWA NDANI YAKE

Imesuniwa kutawadha katika hali nyingi, miongoni mwa hali ambazo muislamu amesuniwa atawadhe: 1. Wakati wa kumdhukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwani Bwana Mtume –Rehema na Amani zimshukie – alikuwa akipenda kumdhukuru…

YALIYO HARAMU KWA ASIYE NA UDHU

Ni haramu kisheria kwa mtu asiyekuwa na udhu kufanya mambo yafuatayo : –Kuswali swala yeyote ile iwayo; ya faradhi, ya suna, au swala ya maiti, au sijida ya kusoma Qur-ani…

VITENGUZI VYA UDHU

Haya ni yale mambo ambayo mojawapo miongoni mwake likimtokea/kumpata mtu mwenye udhu, litasababisha kubatilika kwa udhu wake huo na kuhesabika mbele ya sheria kuwa ni MUHDITH (hana udhu). Kwa mantiki…

YALIYO KARAHA KATIKA UDHU

1. Ni karaha kwa mwenye kutawadha kuacha suna yeyote miongoni mwa suna tulizozitaja chini ya anuani :SUNNA ZA UDHU.  Kwa sababu kuacha kuzitekeleza suna hizo kutampelekea mtu huyo kukosa thawabu,…