SHARTI ZA KUSIHI UDHU

Sharti za kusihi udhu, haya ni mambo ambayo mwenye kutawadha ayahakikishe kwanza kabla hajaanza kutawadha, ili udhu wake uweze kusihi na kukubalika kisheria. Miongoni mwa sharti muhimu kabisa za udhu…

SUNNA ZA UDHU

Kabla hatujaanza kuzieleza sunna za udhu, ni vema tukajikumbusha sunna ni nini ? Neno “Sunna” lina maana mbili : maana ya kilugha na maana ya kisheria. Sunna katika lugha imefasiriwa kwa maana…

NGUZO ZA UDHU

Faida Kabla hatujaanza kuzielezea na kuzibainisha nguzo za udhu moja baada ya nyingine kama zilivyotajwa ndani ya Qur-ani Tukufu, ni vema kujiuliza nguzo ni nini ? Makusudio ya neno Nguzo…

SOMO LA TATU-UDHU

i) MAANA YA UDHU : Tamko/Neno udhu linafasirika katika lugha ya kiarabu kama wema, uzuri na ung’avu. Ama maana ya udhu katika istilahi ya wanazuoni wa fani ya Fiq-hi; udhu…

KUSTANJI/KUCHAMBA NA ADABU {TARATIBU ZA KUKIDHI HAJA}

“Mwenyezi Mungu akimtakia kheri Mja humfahamisha (humpa elimu) kwenye dini” Hadith Tukufu Kustanji/Kuchamba ni kusafisha na kuondoa najisi iliyotoka katika mojawapo ya tupu {uchi}mbili au zote mbili; tupu ya mbele…

IV) AINA ZA NAJISI NA JINSI YA KUZIONDOSHA

Najisi kwa mtazamo wa sheria zimegawanywa katika aina tatu zifuatazo : NAJISI NZITO : Hii ni najisi ya mbwa na nguruwe na mnyama aliyezaliwa kutokana nao au mmoja wao (mbwa…

SOMO LA PILI-NAJISI

i) MAANA YA NAJISI Najisi ni neno la kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na ya kisheria. Najisi katika lugha ni kila kilicho kibaya hata kama ni twahara kama vile…

V) MGAWANYO WA MAJI NA HUKUMU ZAKE

“Mwenyezi Mungu akimtakia kheri Mja humfahamisha (humpa elimu) kwenye dini” Hadith Tukufu Maji kwa kuzingatia sifa na hukumu zake yanagawanyika sehemu/mafungu matatu:- 1: MAJI TWAHUUR au MAJI MUTLAQ hili ndilo…

FAIDA YA FIQHI

غَافِرِ ٱلذَّنۢبِ وَقَابِلِ ٱلتَّوْبِ شَدِيدِ ٱلْعِقَابِ ذِى ٱلطَّوْلِ ۖ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ إِلَيْهِ ٱلْمَصِيرُ Umuhimu na faida itokanayo na elimu hii ya fiq-hi unajidhihirisha katika maisha ya kila…

MISINGI YA FIQHI

Misingi ya fiq-hi ni chimbuko la elimu hii yaani mahala ambamo elimu hii imechukuliwa. Elimu ya fiq-hi imejiegemeza katika misingi mikuu minne kama ifuatavyo: Qur-aniHadithi(sunnah)Ijmaa,naQiyaasi Hii ndio misingi na tegemeo…