AYA YA WIKI (JUMA LA 63)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:

Ikumbuke na jiandae leo na ile: “Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikisiko. Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa. Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha. Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi. Siku watakapo sukumwa kwenye moto kwa msukumo wa nguvu. (Waambiwe): Huu ndio ule moto mlio kuwa mkiukanusha! Je! Huu ni uchawi, au hamwoni tu? Uingieni, mkistahamili au msistahamili – ni mamoja kwenu. Hakika mnalipwa kwa mliyo kuwa mkiyatenda”. At-tuur [52]:09-16

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *