AYA YA WIKI (JUMA LA 62)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:

Usidhulumu na wala usishirikiane na dhalimu, usije kujuta na kujing’ata vidole: “Na siku ambayo mwenye kujidhulumu atajiuma mikono yake, na huku anasema: Laiti ningeli shika njia pamoja na Mtume! Ee ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki! Amenipoteza, nikaacha ukumbusho baada ya kwisha nijia, na kweli shetani ni khaini kwa mwanaadamu”. Al-Furqaan [25]:27-29

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *