KUSUBIRI NJE YA MLANGO WAKATI BWANA HARUSI ANAPOINGIA NDANI ILI KUJUA KAMA BI. HARUSI NI BIKRA

Athari ya ada hii mbaya bado imesalia katika ndoa za baadhi ya jamii zetu. Bwana harusi anapofunga ndoa na kisha kumchukua mkewe nyumbani kusindikizwa na jamaa hasa wanawake wa pande…

NEMBO (MAMBO MATUKUFU) NA DESTURI ZA UISLAMU ZINASISITIZA

THAMANI YA WAKATI…II         Fardhi za kiislamu na desturi za Uislamu zimekuja kuthibitisha thamani ya wakati na kuijali kila hatua na sehemu ya wakati. Fardhi na desturi hizi zinaamsha aina fulani…

UMUHIMU WA WAKATI KWA MUISLAMU I

Wakati ni suala lenye umuhimu wa pekee katika maisha ya muislamu. Umuhimu huu unatokana na mtizamo wa Uislamu kwa wakati kuwa ndio maisha/uhai wenyewe. Kwani hizi sekunde,dakika, saa, siku,juma,mwezi na…

NASAHA UTANGULIZI

“Dini ni nasaha, wakauliza kwa nani ? Akasema Mtume : Kwa Allah, Mtume wake, kwa viongozi wa waislamu na watu wa kawaida” Hadith Tukufu

SIRA YA MTUME – UTANGULIZI

“BILA SHAKA MNAO MFANO MWEMA KWA MTUME WA MWENYEZI MUNGU…”Al-qur-an (33:21)

AKHLAAQ-TABIA UTANGULIZI

“Hakika si vingine nimetumwa kuja kutimiza TABIA NJEMA” Hadith Tukufu

FIQHI NA SHERIA – UTANGULIZI

“Mwenyezi Mungu akimtakia kheri Mja humfahamisha (humpa elimu) kwenye dini” Hadith Tukufu

UTANGULIZI WA DINI NA UISLAMU

“NA ANAYETAKA DINI ISIYOKUWA YA KIISLAMU BASI HAITAKUBALIWA KWAKE NAYE AKHERA ATAKUWA KATIKA WENYE KHASARA (kubwa kabisa)” Al-Qur-an (3:85).

KUPIGA KIBAO KATIKA HARUSI

Tunapozizungumzia sherehe zetu za harusi leo na tukazipima kwa mizani ya sheria tutaona ni namna gani furaha na sherehe zetu zinavyopingana na mafundisho ya dini yetu. Sherehe zetu leo zimekusanya…

KUMTOA NJE BI. HARUSI (HADHARANI) NA BI. HARUSI KUVIKWA SHELA

Ndoa ni suala nyeti kabisa katika maisha ya mwanadamu. Unyeti wa suala hili la ndoa unajidhihirisha kutokana na umuhimu wa ndoa katika kuendeleza kizazi cha wanadamu ambalo hili ni tunda…