Kumuhalalisha mtoto wa zinaa au mtoto wa nje ya ndoa kama ijulikanavyo leo ni miongoni mwa mila potofu na desturi mbaya zilizoenea na kutapakaa katika jamii zetu kiasi cha kuonekana…
Author: admin
WACHUMBA KUZOEANA TABIA
Leo tena kwa msaada wa Mwenyezi Mungu Mtukufu, jukwaa, lako la Nasaha za wiki linaendela kukuletea na kukuchambulia mila na desturi zinazopingana na kukhalifiana na sheria ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.…
UNYAGO
Hii ni mila na desturi iliyoenea na kufuatwa na makabila mengi khusasan hapa kwetu Tanzania. Unyago ni mila ya kumcheza mtoto wa kike wakati avunjapo ungo. Wakati huo huandaliwa ngoma…
MILA ZINAZOKHALIFIANA NA SHERIA
Mwenyezi Mwenyezi Mungu Mtukufu anatuambia ndani ya Qur-ani Tukufu: “ENYI MLIOAMINI !INGIENI KATIKA HUKUMU ZA UISLAMU ZOTE, WALA MSIFUATE NYAYO ZA SHETANI, KWA HAKIKA YEYE KWENU NI ADUI DHAHIRI”.…
UMUHIMU WA SWALA NA NAFASI YAKE KATIKA UISLAMU
A: HUKUMU YA SWALA KWA MUJIBU WA QUR-ANI NA SUNNAH Ewe ndugu yangu mpenzi; hebu kwa msaada wa Mwenyezi Mungu Mtukufu tuzianze nasaha zetu kwa kumuomba Mola wetu Mtukufu atuwafikshe…
NAFASI YA MWANAMKE KATIKA UISLAMU
Nabii Muhammad – Rehema na Amani zimshukie – alipotumwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu kuja ulimwenguni kuuhusisha Uislamu ulioasisiwa na Mitume waliomtangulia, alimkuta mwanamke akiishi chini ya mazingira na kivuli cha…
KWA NINI UISLAMU UMERUHUSU KUOA WAKE WENGI ?
Haukuwa Uislamu ndiyo dini ya kwanza kuruhusu kuoa wake wengi na wala Uislamu haukuzua utaratibu huu. Bali Uislamu umekuwa ndiyo dini ya kwanza kuratibisha na kuyawekea utaratibu mzuri masuala ya…
KWA NINI UISLAMU UMEHARAMISHA WANAUME KUVAA DHAHABU NA HARIRI?
Leo ulimwenguni kote kutokana na kile kinachojulikana kama wimbi la kwenda na wakati, uhuru na haki ya mtu kufanya/kuishi atakavyo; si jambo la kushangaza wala kustaajabisha kuwaona vijana wa kiume…
