Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:
- Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao:
“Wale wanao toa mali zao usiku na mchana kwa siri na dhaahiri, wana ujira wao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, walla hawatahuzunika”. Al-Baqarah [02]:274