Sharti za iqaamah ndizo zile zile sharti za adhana, zirejee katika somo la adhana utazikuta. Hakuna sababu wala dharura ya kurudia kuzitaja tena hapa. SUNA ZA IQAAMAH: Hizi nazo…
Author: admin
TAMKO LA IQMA
Lifuatalo ndilo tamko kamili la iqaamah kama lilivyothibiti katika hadithi nyingi sahihi zilizopokelewa na maimamu Bukhaariy, Muslim na wengineo: ALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR, ASH-HADU AN LAA ILAAHA ILLAL-LAAH, ASH-HADU…
IQMA
Iqaamah kama ilivyo adhana ni suna muakadah (kokotezwa) katika swala za fardhi zinazoswaliwa ndani ya wakati wake (Adaa) au zinazoswaliwa nje ya wakati wake (Qadhwaa). Iqaamah ni suna kwa jamaa…
SUNNA ZA ADHANA
Kumesuniwa katika adhana kufanya mambo yafuatayo:- 1. KUELEKEA QIBLAH: Ni suna muadhini kuelekea Qiblah wakati wa kuadhini, kwa sababu bora ya pande za kuelekewa kwa ajili ya ibada ni upande…
SHARTI ZA KUSIHI ADHANA
Ili adhana iweze kusihi na kuzingatiwa kisheria kuwa ni adhana kumeshurutizwa kupatikana sharti zifuatazo:- 1. UISLAMU: Kisheria haisihi adhana kwa kafiri kutokana na kutokuwa kwake na utayarifu/ustahiki wa ibada (ahliyah).…
MAANA YA TAMKO LA ADHANA
Allaahu Akbar – Allah ni Mkubwa kuliko kila kitu. Ash-hadu An-laa Ilaaha Illal-laah- Ninashuhudia kwamba hapana afaaye kuabudiwa kwa haki ila Allah pekee. Ash-hadu Anna Muhammadan Rasuulullaah – Ninashuhudia kwamba…
TAMKO LA ADHANA
Tamko na umbo la adhana ambayo Mtume wa Allah – Rehema na Amani zimshukie – alimfundisha Abuu Mahdhuurah ni:- ALLAAHU AKBAR X 4 ASH-HADU AN-LAA ILAAHA ILLAL-LAAH X 2 ASH-HADU…
HISTORIA YA ADHANA
Kwa mujibu wa kauli zenye nguvu, adhana imeshariiwa katika mwaka wa kwanza wa Hijrah. Sababu ya kuanza kutumika kwa adhana ambayo haikuwepo katika kipindi chote cha utume Makah. Inatajwa kwamba…
UTANGULIZI
1) MAANA YA ADHANA: Adhana ni neno la Kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na maana ya kisheria (kifiq-hi). Kilugha neno adhana lina maana ya “tangazo” kama lilivyotumika ndani…
FAIDA SEHEMU YA NNE
MILANGO MITANO YA FAHAMU. Milango mitano ya fahamu uliyonayo hukuwezesha kumjua Allah Mola Muumba wako. Ni milango hii pia ambayo huithibitisha imani yako iliyomo moyoni, nayo milango hii ndio chimbuko…
