AYA YA WIKI (JUMA LA 73)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “Wale wanao toa mali zao usiku na mchana kwa…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 73)

“Atakaye jenga msikiti akitaka kwao dhati ya Allah, Allah atamjengea mfano wake peponi”. Bukhaariy [450] & Muslim [533]-Allah awarehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 73)

Kwa nini ujidhuru eti kwa sababu tu ya kuacha utaratibu na mafundisho mepesi na rahisi mno ya Uislamu ambayo yanakuelekeza namna ya kujikinga dhidi ya mashetani wanao kaa vyooni?! Ni…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 73)

SWALI: Sheria inasemaje kuhusiana na mume aliye muingilia mke wake katika kipindi cha hedhi na je, hilo linamuwajibishia kutoa kafara. Na kama ndio, kafara yake ni nini? JIBU: Jumuhuri ya…

AYA YA WIKI (JUMA LA 72)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “… wanapo kasirishwa, wao husamehe”. As-Shuuraa [42]:37

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 72)

“Atakaye muamini Allah na Mtume wake, akasimamisha swala na akafunga Ramadhani, imethibiti kwa Allah kumwingiza peponi”. Bukhaariy [2790]-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 72)

Mbona unashindwa kujiheshimu na kujistahi mwenyewe, basi japo waheshimu na wastahi watu wengine, kwa nini lakini uonyeshe uchi wako mbele za watu?! Kwa nini uvue nguo zako hata kabla ya…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 72)

SWALI: Naomba kujua hukumu ya sharia kwa mwanamume ambaye hajafanya khitani (hajatahiriwa). Je, swala yake inajuzu? JIBU: Khitani (tohara) ni katika jumla ya mambo ya kimaumbile yaliyo letwa na Uislamu…

AYA YA WIKI (JUMA LA 71)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumuomba Mola wao…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 71)

“Atakaye kutana na Allah ilhali hakumshirikisha na chochote, ataingia peponi” Bukhaariy [129]-Allah amrehemu.