Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:
- Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao:
“Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumuomba Mola wao Mlezi kwa khofu na kutumaini na hutoa kutokana na tulivyo waruzuku”. As-Sajdah [32]:16