NGUZO ZA UDHU

Kabla hatujaanza kuzielezea na kuzibainisha nguzo za udhu moja baada ya nyingine kama zilivyotajwa ndani ya Qur-ani Tukufu, ni vema kujiuliza nguzo ni nini ? Makusudio ya neno Nguzo hapa…

NAMNA YA KUTAWADHA

Ikiwa unatawadha kwa kutumia chombo kama vile birika basi ni vema kama inawezekana liwe upande wako wa kulia na kama unatumia bomba basi fungua bomba lako na KWANZA : anza…

UTANGULIZI

i) MAANA YA UDHU : Tamko/Neno udhu linafasirika katika lugha ya kiarabu kama wema, uzuri na ung’avu. Ama maana ya udhu katika istilahi ya wanazuoni wa fani ya Fiq-hi; udhu…

ADABU / TARATIBU ZINAZOFUNGAMANA NA HALI YA KUKIDHI HAJA

Ni vema kwa mwenye kukidhi haja akategemea mguu wake wa kushoto na kuusimamisha/kuunyoosha mguu wa kulia, hivi ndivyo anavyotakiwa akae wakati wa kukidhi haja. Hekima ya ukaaji huu ni kuifanya…

ADABU / TARATIBU ZINAZOFUNGAMANA NA KUELEKEA WAKATI WA KUKIDHI HAJA

Ni haramu kwa mwenye kukidhi haja kuelekea Qiblah au kukipa mgongo. Uharamu huu ni iwapo anakidhi haja mwandani, wala hapana chenye kumsitiri wakati wa kukidhi haja yake. Na imeshurutizwa sitara…

ADABU / TARATIBU ZINAZOFUNGAMANA NA UTOKAJI MAHALA PAKUKIDHIA HAJA

Ni Vema kwa mwenye kutaka kukidhi haja, atangulize mguu wake wa kushoto wakati wa kuingia chooni na mguu wa kulia wakati wa kutoka chooni, kama tulivyofundishwa na Mtume wa Mwenyezi…

ADABU / TARATIBU ZINAZOFUNGAMANA NA MAHALA PA KUKIDHIA HAJA

Imemlazimu mkidhi haja, ajiepushe kukidhi haja katika : 1.Njia ya watu au mahala wanapokaa, hii ni kutokana na kero na maudhi yatakayowapata. Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah – Allah amuwie…

ADABU / TARATIBU ZA KUFUATA KATIKA KUKIDHI HAJA NA KUSTANJI (KUCHAMBA)

Sheria imeweka taratibu ambazo muislamu anapaswa kuzichunga na kuzifuata wakati wa kukidhi haja na kustanji. Taratibu hizi tutazigawa katika mafungu/sehemu zifuatazo kama zinavyoelezewa katika menyu ndogo :

VITU VITUMIKAVYO KATIKA KUSTANJI

Inajuzu/inafaa kustanji (kuchamba) kwa kutumia maji mutlaq (maji halisi) ambayo ndiyo asili katika kujitwahirisha na najisi. Pia inajuzu kustanji kwa kila kitu chenye sifa zifuatazo : i.Kigumu (kigogofu) ii.Chenye Kuparuza…

MAANA YA KUSTANJI

Kustanji/Kuchamba ni kusafisha na kuondoa najisi iliyotoka katika mojawapo ya tupu {uchi}mbili au zote mbili; tupu ya mbele na ya nyuma kwa kutumia maji twahara au kinachosimama memo/mahala pa maji…