ADABU / TARATIBU ZINAZOFUNGAMANA NA UTOKAJI MAHALA PAKUKIDHIA HAJA

Ni Vema kwa mwenye kutaka kukidhi haja, atangulize mguu wake wa kushoto wakati wa kuingia chooni na mguu wa kulia wakati wa kutoka chooni, kama tulivyofundishwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Kadhalika asiingie na chochote chenye jina la Mwenyezi Mungu au jina lolote tukufu kama vile jina la Mtume au aya ya Qurani Tukufu.

Bali imemlazimu muislamu kukivua kitu hicho wakati wa kuingia chooni.

Pia imesuniwa kuleta dua wakati wa kuingia chooni.

Pia imesuniwa kuleta dua zilizothibiti kutoka kwa Bwana Mtume kabla na baada ya kutoka chooni.

Aseme kabla ya kuingia chooni :

BISMILLAH ALLAHUMMA INNIY AUDHUBIKA MINAL KHUBUTHI WAL-KHABAITH. Al-Bukhariy na Muslim.

Na aseme baada ya kutoka :
GHUFRAANAKA AL-HAMDU LILLAHIL-LADHIY ADH-HABA ANNIYL-ADHA WA-A’AFANIY. Abu Dawood, Al-tirmidhi, Ibn Majah na Al-twabraniy.

ADABU / TARATIBU ZA KUFUATA KATIKA KUKIDHI HAJA NA KUSTANJI (KUCHAMBA)…INAENDELEA

UTOKAJI MAHALA PA KUKIDHIA HAJA

Ni Vema kwa mwenye kutaka kukidhi haja, atangulize mguu wake wa kushoto wakati wa kuingia chooni na mguu wa kulia wakati wa kutoka chooni, kama tulivyofundishwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Kadhalika asiingie na chochote chenye jina la Mwenyezi Mungu au jina lolote tukufu kama vile jina la Mtume au aya ya Qurani Tukufu.

(more…)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *