AINA YA NAJISI NA JINSI YA KUZINDOA

Najisi kwa mtazamo wa sheria zimegawanywa katika aina tatu zifuatazo : 1.NAJISI NZITO: Hii ni najisi ya mbwa na nguruwe na mnyama aliyezaliwa kutokana nao au mmoja wao (mbwa na…

VITU VILIVYO NAJISI

Vitu vilivyo najisi ni pamoja na : Mfu/Mzoga ila mwanadamu, samaki na nzige. 1. Kiungo cha mnyama kilichokatwa naye yu hai. Amesema Bwana Mtume : “Kilichokatwa kwa nyama na ilhali…

WAJIBU WA KUJITWAHARISHA KUTOKANA NA NAJISI

Imempasa na kumuwajibikia mwislamu kuutwahirisha mwili, nguo, mahala/sehemu alipo na mazingira yake kwa ujumla kutokana na kila kilicho najisi kwa maana zote mbili kwani hiyo ni amri ya MwenyeziMungu alipomwambia…

MAANA YA NAJISI

Najisi ni neno la kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na ya kisheria. Najisi katika lugha ni kila kilicho kibaya hata kama ni twahara kama vile makamasi, makohozi, tongotongo…

MGAWANYO WA MAJI KWA KUZINGATIA WINGI AU UCHACHE

Tukiyaangalia maji kwa kuuzingatia wingi na uchache wake tutayakuta yamegawanyika sehemu/mafungu mawili:-  i/ Maji  mengi,  na ii/ Maji  machache i/ MAJI MENGI: Haya kwa mtazamo wa sheria ni yale yaliyofikia…

MGAWANYO WA MAJI NA HUKUMU ZAKE

Maji kwa kuzingatia sifa na hukumu zake yanagawanyika sehemu/mafungu matatu:- 1: MAJI TWAHUUR au MAJI MUTLAQ hili ndilo fungu la kwanza la maji. Haya ni maji yenye sifa mbili kuu:-…

VYA KUJITWAHARISHIA

Vitu vitumikavyo katika twahara ni hivi vinne vifuatavyo: i.Maji ii.Mchanga iii.Dab-ghu na iv. Mawe.   i/ MAJI: Maji yakiwa miongoni mwa vitu vinne hivi ndiyo yatumikayo sana katika suala zima…

FALSAFA YA TWAHARA

Mwenyezi Mungu Mtukufu ameifanya twahara kuwa ni sheria na kuwafaradhishia waja wake kwa sababu twahara humfanya muislamu aishi maisha ya unadhifu na utakasifu. Humfanya awe mtakasifu wa mwili, nadhifu wa…

UBORA WA TWAHARA

Mwenyezi Mungu Mtukufu amewasifia sana waja wake wanapenda kujitwaharisha na kujitakasa ndani ya Qur-ani aliposema: “HAKIKA ALLAH HUWAPENDA WANAOTUBU NA HUWAPENDA WANAOJITAKASA”. (2:222) Utaona kutokana na aya hii kwamba twahara…

MAANA YA TWAHARA

MAANA YA TWAHARA KATIKA LUGHA YA SHERIA “Twahara” ni neno la Kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na maana ya kisheria. “Twahara” katika lugha ina maana ya unadhifu na…