Maana ya asili ya neno janaba ni umbali. Hivi ndivyo ilivyotumika ndani ya Qur-ani : “….BASI YEYE AKAMUANGALIA KWA MBALI BILA WAO KUJUA” [28:11]. Kadhalika neno janaba linachukua maana ya…
Author: admin
AINA ZA JOSHO, YAWAJIBISHAYO JOSHO NA YALIYO HARAMU KWENYE KUWAJIBISHWA NA JOSHO
Kuna aina mbili za josho kwa mtazamo wa kisheria (kifiq-hi): Josho la faradhi/wajibu na Josho la suna JOSHO LA FARADHI : Hili ni lile josho ambalo haitosihi ibada yenye kuhitajia…
UTANGULIZI
i) MAANA YA JOSHO Neno JOSHO/KUKOGA ni matokeo ya tafsiri ya neno la kiarabu GHUSLU. Neno hili lina maana mbili; ya kilugha na kisheria. Kwa mtazamo wa kilugha josho/kukoga ni…
UDHU WA MWENYE UDHURU
Tunakusudia kusema kwa istilahi (wenye udhuru) wale watu ambao ambao wana maradhi yanayowafanya wasiweze kuuhifadhi udhu wao kama wanavyoweza watu wengine katika hali ya kawaida. Hawa ni pamoja na mtu…
HALI AMBAZO UDHU HUSUNIWA NDANI YAKE
Imesuniwa kutawadha katika hali nyingi, miongoni mwa hali ambazo muislamu amesuniwa atawadhe: 1. Wakati wa kumdhukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwani Bwana Mtume –Rehema na Amani zimshukie – alikuwa akipenda kumdhukuru…
YALIYO HARAMU KWA ASIYE NA UDHU
Ni haramu kisheria kwa mtu asiyekuwa na udhu kufanya mambo yafuatayo : – 1. Kuswali swala yeyote ile iwayo; ya faradhi, ya suna, au swala ya maiti, au sijida…
VITENGUZI UDHU
Haya ni yale mambo ambayo mojawapo miongoni mwake likimtokea/kumpata mtu mwenye udhu, litasababisha kubatilika kwa udhu wake huo na kuhesabika mbele ya sheria kuwa ni MUHDITH (hana udhu). Kwa mantiki…
YALIYO KARAHA KATIKA UDHU
1. Ni karaha kwa mwenye kutawadha kuacha suna yeyote miongoni mwa suna tulizozitaja chini ya anuani :{SUNA ZA UDHU}. Kwa sababu kuacha kuzitekeleza suna hizo kutampelekea mtu huyo kukosa thawabu,…
SHARTI ZA KUSIHI UDHU
Sharti za kusihi udhu, haya ni mambo ambayo mwenye kutawadha ayahakikishe kwanza kabla hajaanza kutawadha, ili udhu wake uweze kusihi na kukubalika kisheria. Miongoni mwa sharti muhimu kabisa za udhu…
SUNNA ZA UDHU
Kabla hatujaanza kuzieleza suna za udhu, ni vema tukajikumbusha suna ni nini ? Neno “Suna” lina maana mbili : maana ya kilugha na maana ya kisheria. Suna katika lugha imefasiriwa…
