Muislamu hatayamamu kwa sababu tu amejisikia kufanya hivyo, akaacha kutawadha. Bali uislamu umeweka hali na mazingira maalumu, ambamo humo ndimo mtu anaruhusiwa kuitumia na kuitekeleza sheria hii ya tayamamu. Hali…
Author: admin
NAMNA YA KUTAYAMAMU
Kwa kuwa tayari tumeshathibitisha kwamba tayamamu ni sheria katika uislamu, sheria hii haikuachwa ielee angani na kumpa fursa kila mtu aitekeleze kwa mujibu wa matakwa na matashi yake. Sheria hii…
FALSAFA YA HEKIMA YA KUTAYAMAMU
Kutayamamu kumefanywa kuwa ni sheria miongoni mwa sheria za uislamu ili kumfanya muislamu aweze kuitekeleza ibada katika hali na mazingira mbalimbali yanayomzunguka. Apate wepesi katika kulitekeleza lengo la kuumbwa kwake…
HUKUMU NA DALILI YA KUTAYAMAMU
Kutayamamu ni WAJIBU/FARDHI kwa mtu katika hali mbili: 1: Wakati atakapoyakosa maji ya kutawadhia. 2: Wakati atakaposhindwa kuyatumia maji kwa sababu zilizobainishwa na sheria. Kutayamamu kumethibiti katika Qur-ani Tukufu,…
WEPESI WA UISLAMU NA MAANA YA KUTAYAMAMU
Tumekwishajua kutokana na maelezo ya masomo yaliyopita kwamba udhu ni sharti ya kusihi kwa swala, tawafu (ibada ya kuizunguka Al -kaabu), kuushika na kuuchuka/kuubeba msahafu. Kadhalika tumefahamu kuwa udhu hupatikana…
NYONGEZA KATIKA KUTAJA UMRI
Tamaanisha na kukusudia kwa neno “baleghe” ule umri ambao atakapoufika mtu mwanamume au mwanamke hupata sifa ya kuwa ni mtu MUKALLAFU. Yaani sasa anatakiwa kuyatekeleza yale yote aliyoamrishwa au kukatazwa…
MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE HEDHI
1. Kuswali- kwa ushahidi wa hadithi hiyo ya Fatmah Bint Abiy Hubaysh tuliyoitaja hapo katika Istihaadha. 2. Kusoma Qur-ani na kugusa na kuuchukua msahafu kwa ushahidi tulioutaja katika yakiyo…
UTANGULIZI
A/. MAANA YA HEDHI Hedhi katika lugha ya kiarabu, maana yake ni KUCHURIZIKA. Ama hedhi kwa mtazamo wa sheria ni DAMU YA MAUMBILE yaani damu hii ni sehemu/ni katika jumla…
MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE JANABA
Mtu akipatwa na janaba kwa maana ya janaba kama tulivyoeleza katika maelezo yetu ya awali yanamuharimikia kwa mujibu wa sheria mambo yafuatayo:- 1. Kuswali swala ya fardhi au ya sunnah.…
MAMBO YANAYOSABABISHA JANABA
Janaba husababishwa na mambo mawili yafuatayo : i. Mwanamume/Mwanamke kutokwa na manii kwa sababu yeyote miongoni mwa sababu zake kama vile kujiotelea usingizini yaani mtu kuota usingizini kuwa anafanya…
