NYONGEZA KATIKA KUTAJA UMRI

Tamaanisha na kukusudia kwa neno “baleghe” ule umri ambao atakapoufika mtu mwanamume au mwanamke hupata sifa ya kuwa ni mtu MUKALLAFU.

Yaani sasa anatakiwa kuyatekeleza yale yote aliyoamrishwa au kukatazwa na sheria; tangu swala, swaumu, hijah na ibada nyingenezo.

Baleghe hujulikana kwa kupatikana mojawapo ya mambo matatu haya :-

1.  kujitolea na kutokwa na manii. Hili hushirikiana msichana na mvulana yaani msichana naye hujitolea usingizini kama ajiotoleavyo mvulana.

2.  Msichana kuanza kutokwa na damu ya hedhi kipindi cha mwanzo ambacho msichana anaweza kujiotelea au kutokwa na damu ya hedhi ni miaka tisa ya mwezi muandamo. Kuchelewa au kuwahi kupata hedhi hutofautiana baina ya nchi na nchi, mtu na mtu na hali za kimaisha.

3.     Mvulana au msichana kutimiza umri wa miaka kumi na tano kwa mwaka wa mwezi mwandamo. Hili ni iwapo hajajitolea au kupata hedhi mpaka kufikia umri huo

NYONGEZA KATIKA KUTAJA UMRI

Tamaanisha na kukusudia kwa neno “baleghe” ule umri ambao atakapoufika mtu mwanamume au mwanamke hupata sifa ya kuwa ni mtu MUKALLAFU.

Yaani sasa anatakiwa kuyatekeleza yale yote aliyoamrishwa au kukatazwa na sheria; tangu swala, swaumu, hijah na ibada nyingenezo.

(more…)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *