Kabla hatujaingia moja kwa moja kuilezea swala na uchambuzi, ni vema kwanza tukajiuliza swala ni nini, ili tutakapokuwa tunalitaja neno swala, tujue na kuelewa tunazungumzia kitu/jambo gani. Haya sasa, kwa…
Author: admin
KUPAKAZA MAJI JUU YA VICHACHA(P.O.P) NA UTEPE(BANDAGE)
Ni vema kabla hatujaanza kuelezea hukumu na namna ya upakazaji juu ya vichacha na utepe, tukabainisha kichacha na utepe ni nini? Tuanze na kichacha, hiki ni kiungio kinachofungwa juu ya…
KUPAKAZA MAJI JUU YA SOKSI
Naam, kunajuzu kupakaza maji juu ya soksi pale zitakapokuwa zimekamilisha soksi hizo masharti yote ya upakazaji juu ya khofu, kama yalivyoelezwa katika darasa zilizotangulia. Sheykh Abdurahman Al-Jasiyriy – Allah…
YENYE KUBATILISHA UPAKAZAJI WA KHOFU
Wanawazuoni wa fani hii ya fiq-hi (Mafaqihi) wamekongamana na kuwafikiana kwamba kila lenye kutengua na kubatilisha udhu pia hubatilisha upakazaji juu ya khofu. Kwa nini? Hi ni kwa sababu upakazaji…
NAMNA, MAS-ALA NA MUDA WA UPAKAZI WA KHOFU
(i) NAMNA YA UPAKAZAJI WA KHOFU Sheria haikumuachia kila mtu aitekeleze ruhusa hii ya upakazaji maji juu ya khofu kwa namna aitakayo mwenyewe, bali imeelekeza namna maalumu ya upakaji ambayo…
UTANGULIZI
(i) KHOFU NI NINI ? Khofu ni neno la Kiarabu ambalo hutumika kwa maana ya aina maalumu ya kiatu chenye umbo la soksi. Viatu hivi vinaweza kuwa ni vya ngozi…
NUKTA ZA KUZINGATIA KATIKA KATIKA MAS-ALA YA KUTAYAMAMU
Kabla hatujaanza kuzungumzia mambo yanayotengua tayamamu ni vema tukaziangalia kwanza nukta kadhaa muhimu katika suala zima la kutayamamu. Nukta zenyewe ni hizi zifuatazo: 1 : KUTAYAMMAMU BAADA YA KUINGIA WAKATI…
SUNNA ZA KUTAYAMAMU
Kumesuniwa katika utekelezaji wa tendo la kutayamamu mambo kadhaa, miongoni mwa mambo hayo ni haya yafuatayo :- 1. Kunasuniwa katika tayamamu yale yote ambayo ni suna katika udhu. Kuanzia na…
NGUZO ZA KUTAYAMAMU
Nguzo za tayamamu, haya ni mambo ya msingi kabisa mabayo kuwepo / kupatikana kwa tayamumu kunayategemea, na haya ni mambo yanayofanyika ndani ya tayamamu yenyewe. Mambo yenyewe ni kama yafuatavyo:…
SHARTI ZA KUSIHI KUTAYAMAMU
Sharti za kusihi kutayamamu, haya ni mambo ambayo sheria imelazimisha na kuwajibisha yapatikane kwanza kabla mtu hajaanza kutayamamu. Kusihi kwa tayamamu sambamba na ibada itayofanywa kwa tayamamu hiyo, kutategemea sana…
