MAANA YA ITIKAFU: Kilugha neno “Itikafu” lina maana kuu mbili, kama zifuatazo: Kuzuia, na Kukaa. Kisheria “Itikafu” ni: Kitendo cha kukaa msikitini kwa mfumo maalumu uambatanao na nia ya kujikurubisha…
Author: admin
RUSHWA: HATARI NA ATHARI ZAKE
Msemo “Rushwa ni adui wa haki”, kelele zinapopigwa ulimwenguni kote na wanasiasa, viongozi na serikali na wale wa dini dhidi ya rushwa. Haya yote ni ishara na dalili wazi juu…
UTANGULIZI NASAHA
ZIJUE NASAHA ZA WIKI Nasaha za wiki ni ukumbi wa kunasihiana, kubadilishana,kukosoana,kushauriana, na kuelimishana katika nyanja mbalimbali. Tutakumbushana kupitia nasaha za wiki juu ya yale yatupasayo kutenda ama kutotenda kwa…
KUSILIMU KWA ABUL-AASWI
I. Kusilimu kwa Abul-Aaswi: Abul-Aaswi akaenda zake Makkah, alipofika huko akampa kila mwenye mali, mali yake, halafu akauliza: “Je, kuna ye yote miongoni mwenu ambaye hajachukua mali yake kwangu?”, wakajibu:…
