Jambo lolote lile katika maisha ya kila siku ya Muislamu linaangukia kwa mujibu na mtazamo wa sheria katika mafungu yafuatayo ya hukumu:- Faradhi/Wajibu Sunnah Haramu Mubah Makuruuh Hizi ndizo hukumu…
Author: admin
HUKUMU YA SHERIA KATIKA FIQHI
Baada ya kuona faida na umuhimu wa fiq-hi hatuna budi kujua hukumu ya sheria katika elimu hii. Kila elimu katika Uislamu ina hukumu yake, elimu ya uchawi kwa mfano ni…
FAIDA YA FIQHI
Umuhimu na faida itokanayo na elimu hii ya fiq-hi unajidhihirisha katika maisha ya kila siku ya Muislamu, jamii na ummah mzima wa Kiislamu. Fiq-hi humsaidia Muislamu kujua:- Maamrisho ya Mola…
MISINGI YA FIQHI
Misingi ya fiq-hi ni chimbuko la elimu hii yaani mahala ambamo elimu hii imechukuliwa. Elimu ya fiq-hi imejiegemeza katika misingi mikuu minne kama ifuatavyo: Qur-ani Hadithi(sunnah) Ijmaa,na Qiyaasi Hii ndio…
MAANA YA FIQHI
Fiq-hi ni neno la kiarabu lenye maana mbili. Maana ya kwanza ni ya kilugha na ya pili ni ya kisheria. Katika lugha ya kiarabu neno “fiq-hi” maana yake ni kufahamu…
NGUZO ZA KIISLAMU
Dini hii ya Kiislamu imejengwa juu ya nguzo tatu za msingi, ambazo ni:- 1. UISLAMU, ambao huu umejengwa juu ya nguzo tano kama zifuatavyo:- Shahada mbili Kusimamisha swala tano Kutoa…
SHAHADA MBILI NI NINI?
Shahada mbili ni mkusanyiko wa matamko mawili ya ahadi anayoichukua kiumbe (mwanadamu) mbele ya Muumba wake na viumbe wenzake. Ambapo mtamkaji hula kiapo cha utii kwa Allah Mola Mwenyezi na…
NIKITAKA KUWA MUISLAMU NIFANYE NINI?
Uislamu unaamini kwamba kila mtoto anazaliwa hali ya kuwa tayari ni muislamu tokea tumboni mwa mama yake. Anabakia na Uislamu wake huo wa kuzaliwa mpaka anapofikia umri wa utu uzima…
KAULI MBIU YA UISLAMU
Uislamu kama dini na mfumo sahihi na kamili wa maisha unalingana na kuhubiri juu ya kuwepo Mungu aliye Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo humo. Unawataka wanadamu wote…
UISLAMU NI NINI?
Uislamu ni mfumo kamili na sahihi wa maisha unaozienea nyanja zote za maisha ya mwanadamu katika hali, mahala na zama zote. Mfumo uliofumwa na Allah Mola Muumba ulimwengu na walimwengu…
