TWAA

Moyo na nafsi ya mwanadamu imeumbwa katika maumbile na tabia ya kufuata au kutofuata inayoelekezwa na kuamrishwa kutenda au kutotenda. Nafsi inapojijengea utamaduni wa kufuata na kutekeleza iliyoamrishwa na kujiepusha…

UBORA WA ELIMU NA FAIDA YA KUSOMA

UBORA WA ELIMU Elimu ndio pambo tukufu na lenye thamani kushinda/kuliko mapambo yote anayojipamba nayo mwanadamu. Elimu ndio mwangaza na taa pekee inayomuangazia mwanadamu katika maisha ya ulimwengu huu. Elimu…

UTANGULIZI – AKHLAAQ

AKHLAAQ NI NINI? Elimu ya akhlaaq ni elimu ya malezi ya tabia ambayo hujihusisha na kutengenea kwa moyo kwa kuupamba na tabia njema na kuuepusha na tabia mbaya.   CHIMBUKO…

ADABU NA TARATIBU ZA IJUMAA

Siku ya Ijumaa na swala yake zina adabu na taratibu zilizosuniwa, yatakikana kwa kila muislamu kuzishughulikia na kuzoea kuzifanya, adabu na taratibu hizo ni pamoja na:- 1.Kukoga: hili ni kwa…

NGUZO ZA SWALA YA IJUMAA

Swala ya Ijumaa inasimama juu ya nguzo mbili ambazo ndio msingi wa swala hii tukufu. Nguzo hizo ni:- KHUTBA MBILI: Hii ndio nguzo ya kwanza ya msingi miongoni mwa nguzo…

SHARTI ZA KUSIHI SWALA YA IJUMAA

Zikipatikana sharti saba hizi tulizozitaja, swala ya Ijumaa itakuwa tayari ni wajibu kwa muhusika ila tu itakuwa haisihi ila kwa kupatikana sharti nne zifuatazo:- 1.Kuwa ndani ya mipaka ya mji:…

SHARTI ZA KUWAJIBISHA SWALA YA IJUMAA (WANAOWAJIBIKIWA NA IJUMAA)

Swala ya Ijumaa kwa mujibu wa sheria ni wajibu kwa mtu ambaye zimepatikana kwake sharti saba zifuatazo:- Uislamu: Swala ya Ijumaa ni wajibu kwa muislamu tu na wala haimuwajibikii kafiri…

FALSAFA YA SWALA YA IJUMAA

Katika kushariiwa swala ya Ijumaa kuna hekima na faida kathiri (nyingi). Katika jumla ya faida hizo ni kule kukutana waislamu katika ngazi ya mji, kitongoji au kijiji mahala pamoja. Ambapo…

SWALA YA IJUMAA

I/. UBORA WA SIKU YA IJUMAA: Siku ya Ijumaa ni siku bora na tukufu miongoni mwa siku za dunia, Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-ameitaja siku ya Ijumaa kama hivi:…

SHARTI ZA MAAMUMA

Maamuma anayeswali nyuma ya imamu kumeshurutizwa sharti kadhaa ili kumfuata kwake imamu kusihi. Miongoni mwa sharti muhimu ni kama zifuatavyo:- 1)     Mfuataji (maamuma) asijue kubatilika kwa swala ya imamu wake…