ADABU / TARATIBU ZA KULA/ KUNYWA

Muislamu hukiangalia chakula na kinywaji kwa jicho la kukizingatia kuwa ni wasila/chombo cha kumfikishia katika malengo ya maisha yake ya siku hata siku. Muislamu hakitazami chakula/kinywaji kwa dhati yake kama…

KUJIZUIA NA HARAMU NA MAMBO MACHAFU

Chimbuko na chemchem ya somo letu hili linalobeba anuani ya kujizuia na haramu/mambo machafu ni kauli yake MwenyeziMungu aliposema : “NA WAJIZUILIYE NA MACHAFU WALE WASIOPATA CHA KUOLEA MPAKA AWATAJIRISHE…

UAMINIFU / AMANA

Uaminifu/Amana tunayokusudia hapa ni kule kuzihifadhi haki za MwenyeziMungu Mtukufu zilizotupasa sambamba na haki za binadamu wenzetu. Mtu akizichunga na kuzihifadhi haki za Mola wake na za wanadamu wenziwe huyo…

KUWAPENDEZA WAZAZI

Suala la kuwapenda wazazi na kuwafanyia wema ni amri na agizo la MwenyeziMungu; na kwenda kinyume na agizo hilo ni uasi na dhambi :- “NA MOLA WAKO AMEHUKUMU KUWA MSIMUABUDU…

KUKAA NA WATU KWA WEMA

Ukiirejea historia utangudua kuwa kuishi vema na watu au ujirani mwema aliokuwa nao Bwana Mtume ulikuwa ni sababu ya kuwavuta watu kuingia katika dini ya Mwenyezi Mungu. Bwana Mtume atuatuambia.…

UONGO

Uongo au kusema uongo ni miongoni mwa tabia mbaya ambazo muumini wa kweli anapaswa kujiepusha nazo. Mwenyenyezi Mungu Mtukufu anatuambia:- “WANAOZUA UWONGO NI WALE WASIOZIAMINI AYA ZA MWENYEZI MUNGU; NA…

UKWELI

Ukweli ni mtu kulieleza jambo kama kilivyo bila yakupunguza au kuzidisha chochote. Muislamu huwa ni mkweli apendaye kusema ukweli na kujitazamisha na tabia ya ukweli hii ni kwa sababu anatambua…

KUTEKELEZA AHADI

Kutekeleza ahadi ni miongoni mwa tabia njema/tukufu anazotakiwa ajipambe nazo muislamu wa kweli. Muislamu anapotoa ahadi, basi atambue kwamba amelazimishwa na sheria kuitekeleza ahadi muda wa kuwa si katika kumuasi…

KUWAHURUMIA WANYAMA

 KUWAHURUMIA WANYAMA Wanyama ni miongoni mwa viumbe hai ambao Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa fadhila zake ametuambia tuwahurumie ili watusaidie na kututumikia katika maisha yetu hapa duniani. Kwa hivyo ni wajibu…

KUWAHURUMIA WATU / TABIA YA HURUMA

Muislamu wa kweli ni mtu mwenye huruma. Huruma ni miongoni mwa tabia za muislamu. Chimbuko la huruma ni usafi na utakasifu wa nafsi na roho, hivyo ndiyo kusema kuwa na…