Nyudhuru zinazoweza kumfanya mtu kutokuhudhuria swala ya jamaa msikitini, zinagawika katika mafungu mawili makuu kama ifuatavyo:- a) NYUDHURU JUMUIA: Hizi ni pamoja na mvua kubwa, upepo mkali wakati wa usiku…
Author: admin
SWALA YA JAMAA
I. MAANA YA SWALA YA JAMAA: Muradi na mapendeleo ya swala ya jamaa ni ile swala ya fardhi au ya suna iliyosuniwa kuswaliwa jamaa. Inayoswaliwa kwa pamoja na zaidi ya…
SIJIDA MSOMO
Ni suna thabiti kutoka kwa Bwana Mtume–Rehema na Amani zimshukie–kusujudu sijida ya msomo. Suna hii inawahusu wote wawili; msomaji wa Qur-ani na msikilizaji, iwe ni ndani ya swala au nje…
SABABU ZA SIJIDA SAHW NA NAMNA YA KUISUJUDU
SABABU ZA SIJIDA YA KUSAHAU: Mambo yafuatayo ndio yatakayo mpelekea mwenye kuswali kuleta sijida ya kusahau: 1. Mwenye kuswali kuacha mojawapo miongoni mwa suna za swala zinazoitwa “Ab-aadh”, mithili ya…
SIJIDA SAHW
SIJIDA YA KUSAHAU (SIJIDATIS–SAH–U). AINISHO/MAANA YA KUSAHAU: Neno “Kusahau” lina maana mbili kama ifuatavyo:- I . KUSAHAU KILUGHA: Katika lugha ya kawaida kusahau kunamaanisha kupoteza kumbukumbu za kitu/jambo au kughafilika…
SWALA YA MWENYE KHOFU
MAANA: Katika darsa hii tutakapoitaja khofu tutakuwa tukimaanisha na kuikusudia khofu iliyo kinyume cha amani. Hali au mazingira yo yote ambayo hayamuhakikishii mja amani, utulivu na usalama, hali na mazingira…
RUKHUSA YA KUJUMUISHA
Hii ni rukhsa inayompa msafiri nafasi ya kuzijumuisha swala mbili na kuziswali katika wakati wa mojawapo ya swala mbili hizo. Ushahidi na dalili juu ya rukhsa hii ya kujumuisha unapatikana…
RUKHUSA YA KUKUSURU
SWALA YA MSAFIRI HUWAJE? Allah amempa msafiri rukhsa mbili kama ifuatavyo:- RUKHSA YA KUKUSURU (SHORTENING): Hii ni rukhsa inayohusisha upunguzaji wa idadi ya rakaa za swala ambapo msafiri huruhusiwa kuziswali…
SWALA YA MSAFIRI
UTANGULIZI: Allah Mola Mwenyezi anasema ndani ya Qur-ani Tukufu (muongozo sahihi wa wanadamu) “….WALA HAKUWEKA JUU YENU MAMBO MAZITO KATIKA DINI….” (22:78) Maana sahali ya kauli hii tukufu ya Allah…
SWALA YA MGONJWA
Swala ndio nguzo ya pili miongoni mwa nguzo tano za Uislamu. Kwa hivyo basi kuihifadhi swala kwa kuiswali namna itakiwavyo na kwa wakati uliowekwa na sheria ni kielelezo kinachoonyesha nguvu…
