KATAZO LA WIKI (JUMA LA 78)

Kwa nini lakini unamfanyia husda na kumchukia mwenzako kwa sababu tu ya neema ya mali aliyo nayo?! Kwani wewe hutambui kwamba hiyo ni mipango yake Allah kumpa huyu zaidi, yule…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 77)

Hivi wewe unafikiri ni nani?! Mpaka lini utaendelea kuwadhulumu na kuwanyanyasa watu, eti tu kwa sababu ya madaraka yako, cheo chako, mali yako au nguvu zako?! Kumbuka madaraka yana mwisho…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 76)

Acha ajizi na uvivu, kwa nini lakini unajinyima mwenyewe fursa ya kujizolea thawabu lukuki kwa amali ndogo kabisa, ambayo wewe unaiweza pasina kukuletea mashaka?! Hivi ni kweli wewe unashindwa kuswali…