“Atakaye tawadha, akaeneza udhu (viungo vyote), kisha akaiendea swala ya faradhi, akaiswali pamoja na watu au pamoja na jamaa, au msikitini, Allah atamsamehe madhambi yake”. Muslim [232] na Ahmad [01/67]-Allah…
Category: Hadithi Ya Wiki
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 77)
“Atakaye tawadha kikamilifu, kisha akaswali rakaa mbili (Sunnatul-Wudhuu), akielekea (kwazo) kwa moyo wake na uso wake, imemuwajibikia pepo”. Nasaai [151], Muslim [234], Abu Daawoud [169] na Ahmad [04/158]-Allah awarehemu.
HADITHI YA WIKI (Juma la 76)
“Atakapo tawadha mja muislamu – au muumini – akaosha uso wake, basi hutoka pamoja na maji hayo kila dhambi aliyo ipata kwa kuangalia kwa macho yake – au pamoja na…
