HADITHI YA WIKI (JUMA LA 78)

“Atakaye tawadha, akaeneza udhu (viungo vyote), kisha akaiendea swala ya faradhi, akaiswali pamoja na watu au pamoja na jamaa, au msikitini, Allah atamsamehe madhambi yake”. Muslim [232] na Ahmad [01/67]-Allah awarehemu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *