WAEPUSHE WENGINE SHARI ZAO

Muislamu unausiwa uishi na wanadamu wenzio na ujitahidi upeo wa jitihada zako shari zako zisiwafikie kwa namna yote ile iwayo. Kwani kwa kufanya hivyo, Allah atakukinga na kukulinda na shari…

KUWA NA HURUMA

Muislamu unausiwa na kuhimizwa kujipamba na tabia ya huruma kamili kwa viumbe wote wa Allah; wanadamu wenzio na wasio wanadamu.  Ishi na wanadamu wenzio na changanyika nao kimaisha kwa kuwaonyesha…

WASIA MARIDHAWA KWA WAISLAMU WOTE

MAANA; Wasia ni  neno lenye asili ya lugha ya Kiarabu ni neno ambalo limetumika ndani ya Qur-ani Tukufu, hadithi za mtume na baki ya maandishi mengine ya kiarabu. Neno hili …

HAKI ZA MAKHADIMU(WATUMISHI WA NYUMBANI), VIBARUA NA WAAJIRIWA

Huduma/utumishi ni suala lisilopuuzwa wala kudharauliwa katika mfumo sahihi wa maisha (Uislamu). Umuhimu wa suala hili unatokana na ukweli kwamba maisha ya watu katika jamii yo yote ile ni maisha…

HAKI ZA WAISLAMU WOTE KWA UJUMLA

Bila ya shaka kila mmoja wetu amepata kuliona jengo refu, imara na madhubuti, likampendeza na kumvutia kiasi cha kujikuta anasimama kulishangaa. Ni dhahiri kuwa jengo hili zuri ni natija ya…

HAKI ZA JIRANI

Bila ya shaka kila mmoja wetu amepata kuliona jengo refu, imara na madhubuti, likampendeza na kumvutia kiasi cha kujikuta anasimama kulishangaa. Ni dhahiri kuwa jengo hili zuri ni natija ya…

HAKI ZA VIONGOZI NA HAKI ZA RAIA

Ni maumbile ya wanadamu kukhitilafiana kifikra, kimawazo, kiufahamu na kiakili. Na mara nyingi watu huongozwa na matamanio na matashi ya nafsi zao bila ya kujali sheria au haki za wenzao.…

HAKI ZA MUME

Kwanza kabisa kabla hatujaanza kuzielezea haki hizi ni vema tukatambua kuwa haki za mume kwa mkewe zinakomelea au ziko katika nafsi/dhati ya yule mke mwenyewe. Na wala hazipindukii katika mali…

HAKI ZA MKE KWA MUMEWE

Haki za mke kwa mume kwa maneno mengine tunaweza kuziita (WAJIBU WA MUME KWA MKEWE). Haki za mke kwa mume zinaangukia katika mbeya (mafungu) mbili; ¨        Haki za kimali (mahari,…

HAKI ZA MKE NA MUME(HAKI ZA WANANDOA)

Kisheria ndoa ni mkataba wa khiari wa kuishi na kushirikiana pamoja katika matamu na machungu ya maisha baina ya mwanamume na mwanamke. Kutimia kwa mkataba huu kwa mujibu wa sheria…