ZISHUKURU NEEMA ZA ALLAH

Ndugu yetu katika imani-Allah azithibitishe imani zetu-kwa mara nyingine tena tunamshukuru Allah kwa kutukutanisha tena katika ukumbi wetu huu wa wasia maridhawa. Leo kwa mapenzi ya imani ninakuusia kuzishukuru neema…

SUBIRI KWA MITIHANI INAYOKUSIBU

Ndugu yangu katika imani-Allah Taala atupe imani ya kweli itakayotupa kheri za duniani na akhera-Aamiyn! Tunaendelea kuusiana katika mapenzi ya Allah, ufahamu na uelewe kwamba miongoni mwa mambo makubwa yenye…

KUWA BAINA YA KHOFU NA MATUMAINI

Ndugu mpenzi katika imani-Allah atuwafikishe kupendana kwa ajili yake-ni wajibu wetu kumuhimidi Allah aliyetuwafikisha  kuusiana mema na kukatazana mabaya. Ni kheri kwetu ikiwa tutafahamu kwamba miongoni mwa mambo yenye kuokoa…

KITHIRISHA NA KULETA ISTIGHFAARI

Ndugu yangu mpenzi katika imani-Allah akuongoze-karibu tena katika jukwaa lako hili la wasia maridhawa kwa kila muislamu. Ninakuusia bila ya kusahau kuiusia nafsi yangu kuleta istighfaari. Elewa na ufahamu kwamba,…

TUBIA KWA MOLA WAKO TOBA YA KWELI

Ewe mpenzi ndugu yangu-Allah atuwafikishe kupendana kwa ajili yake tu-Aamin. Ninakuusia kwa mapenzi ya imani ufahamu kwamba kuna mambo mengi yenye kuokoa ambayo ni wajibu kuupamba moyo wako kwa mambo…

JIEPUSHE NA GHURURI ZA DUNIA

Ewe ndugu mpenzi katika imani-Allah akurehemu. Ninamuomba Allah atuwafikishe kufahamu kuwa miongoni mwa mambo yenye kuhilikisha ni “ghururi”. Pengine utataka kuniuliza ghururi ni nini? Ikiwa hivyo ndivyo, basi ninakusihi uniazime…

JIEPUSHE NA UBAGHILI NA UNYIMI

Ewe ndugu yangu-Allah akurehemu-kwa mapenzi ya Allah ninakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu. Tujiepushe na tuipige teke tabia mbaya ya ubakhili na unyimi. Viwili hivi; bakhili na unyimi si pambo…

USIPENDE MALI NA CHEO

Ewe ndugu yangu mpenzi katika imani-Allah akurehemu-ninakuusia bila ya kuisahau nafsi yangu kwamba usipende mali na cheo. Fahamu na uelewe kwamba kupenda cheo na mali ni miongoni mwa majanga makubwa…

IPE NYONGO DUNIA

Ewe ndugu yangu mpenzi–Allah akurehemu–ninakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu tuitafakari kwa pamoja kauli hii ya Mola Muumba wetu: “ENYI WATU! BILA SHAKA AHADI YA ALLAH NI HAKI. BASI YASIKUDANGANYENI…

JIEPUSHE NA MANENO MACHAFU/MATENDO MABAYA

Ewe ndugu yangu mpenzi muislamu, ninakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu tuzipe masiko ya usikivu wa kufuata, kauli hizi za Mola wetu: “…NA SEMENI NA WATU KWA WEMA…”  (2:83) “ENYI…