HAKI ZA WATOTO

Ni vema ikaeleweka kwamba tunapozungumza kuhusu watoto, tunazikusudia jinsia zote mbili. Yaani watoto wa kiume sambamba na wale wa kike. Katika Uislamu hakuna chembe ya ubaguzi, watoto wote wana haki…

HAKI ZA WAZAZI

Hakuna mwanadamu mwenye akili timamu anayeweza kukanusha fadhila za wazazi kwa watoto wao. Ni ukweli usiopingika kwamba wazazi wawili; baba na mama ndio sababu ya kuwepo mtoto katika ulimwengu huu.…

HAKI YA ALLAH NA MTUME WAKE

Muislamu kujua haki na wajibu wake kwa Mola Muumba wake na viumbe wenzake ni tabia isiyopambanuka naye. Ni fardhi isiyo na shaka muislamu kuzijua haki zake na kuzidai pake anapozikosa.…

KUJITOA MHANGA

Kimaumbile mwanadamu ni kiumbe mwenye tabia ya ubinafsi, tabia ya kujifikiria yeye mwenyewe. Tabia ya kujipendelea na kutanguliza mbele maslahi yake. Haya ndiyo maumbile ya mwanadamu: “…NA NAFSI ZIMEWEKEWA UBAKHILI…

UVIVU NA AJIZI

Muislamu si mtu wa ajizi wala hawi mvivu bali ni mtu thabiti, mtendaji kazi na huwa na pupa ya maendeleo. Ajizi na uvivu, hizi ni tabia mbaya ambazo Mtume wa…

RIYAA

“Riyaa” ni miongoni mwa tabia mbaya ambazo muislamu anatakiwa bali anawajibika kujiepusha nayo ili aweze kufikia uhalisi na ukamilifu wa ibada zake. Riyaa ni maradhi hatari ya moyo, kirusi hiki…

GHUSHI – UDANGANYIFU

Ghushi ni nini ? Ifahamu ghushi kupitia hadithi hii : Imepokelewa kwamba Mtume -Rehema na Amani zimshukie- “alilipitia rundo la chakula (sokoni), akaingiza mkono wake ndani yake (rundo hilo) vidole…

UADILIFU

Tangu zama na zama kumekuwepo na kelele za wanadamu juu ya kiu yao ya kuitaka kuiona jamii ya wanadamu ulimwenguni kote ikiishi katika amani na utulivu. Chimbuko na msingi wa…

DHULUMA NA AINA ZAKE

Muislamu hadhulumu na wala hadhulumiwi. Yeye hamdhulumu mtu kwa kigezo cho chote kile, hata kama anatofautiana nae katika imani. Wala hakubali kudhulumiwa na ye yote awaye. Hii ni kwa sababu…

SUBIRA NA KUSTAHIMILI MAUDHI

Ikutoshe kuona na kutambua ubaya wa hasadi kwamba Allah alimuarisha Mtume wake Rehema na Amani zimshukie kujilinda na kujikinga na shari ya mtu hasidi sambamba na shari ya shetani. “NA…