WAZAZI WA MTUME NA KISA CHA KUCHINJWA KWA BABA YAKE

Tumeeleza katika somo lililopita kwamba baba yake Bwana Mtume ni Mzee Abdallah Bin Abdul-Mutwalib na mama yake ni Bi Aaminah Bint Wahab. Bwana Abdallah alikuwa ni miongoni mwa vijana bora…

NASABU YA MTUME KUUKENI KWAKE

Nasabu yake Bwana Mtume – Allah amrehemu na kumshushia amani – kwa upande wa mama yake:- Yeye ni Muhammad Bin Aaminah Bint Wahab Bin Abdi Manaf Bin Zuhrah Bin Hakiym.…

NASABU YA MTUME KUUMENI KWAKE

Nasabu ya Bwana Mtume – Allah amrehemu na kumshushia amani – kwa upande wa baba yake ni kama ifuatavyo:- Yeye ni Muhammad Bin Abdillah Bin Abdil – Mutwalib Bin Haashim…

HALI YA KIJAMII NA TABIA ZA WAARABU

Tumeeleza huko nyuma kwamba yalipatikana makabila mengi ya kiarabu kutokana na kizazi cha Nabii Ismail. Kila kabila liliundwa kutokana na kaya/familia kadhaaa zilizojiunga pamoja. Kila kabila liliongozwa na kiongozi aliyekuwa…

IBADA YA MASANAMU

Kabla ya Uislamu waarabu walizama mno katika ibada ya masanamu mpaka wakaijaza Al-Kaaba masanamu ambayo idadi yake ilifikia masanamu mia tatu na sitini (360). Kila kabila lilikuwa na sanamu lake…

HALI YA KIDINI BARA ARABU KABLA YA UISLAMU

Kabla ya kudhihiri kwa Uislamu Bara arabu halikuwa na dini moja bali lilisheheni dini nyingi. Baadhi ya wakazi wake walikuwa wakifuata dini ya Nabii Musa nao ni mayahudi na wengine…

KABILA LA KURAISHI NA UTAWALA WAKE

Makabila mengi yalipatikana kutokana na kizazi cha Ismail mwana wa Nabii Ibrahimu katika nchi ya Hijazi, kabila la Qurayshi ndilo lililokuwa mashuhuri zaidi. Baadhi ya makabila haya yalikuwa yakimuabudu Mwenyezi…

NCHI YA HIJAZI NA KUANZISHWA KWA MJI WA MAKKAH

Mji wa Makkah ndio kitovu na chimbuko la kuenea dini ya Kiislamu. Mji huu upo katika nchi ya Hijazi, nchi ambayo imechukua eneo kubwa la Bara Arabu. Nchi hii ya…

BARA ARABU WAKATI WA MTUME WAKAZI WAKE

Bara Arabu lipo upande wa kusini wa Bara la Asia. Bara hili ndilo makazi ya Waarabu tangu kale na mpaka sasa kinaishi humo kizazi cha Waarabu. Maelfu ya miaka Waarabu…

UTANGULIZI SIRA YA MTUME

SIRA NI NINI? Sira ni fani inayojishughulisha kuelezea maisha ya Nabii Muhammad tangu kuzaliwa mpaka kufa kwake, ikiwa ni pamoja na malezi na makuzi yake, wasifu wake wa kimaumbile, tabia…