UFUMBUZI WA MTUME KATIKA MZOZO WA UWEKAJI WA “HAJAR ASWAD”

Watu wa Makkah walipoona kwamba jengo la nyumba ya Mwenyezi Mungu “Al-Kaaba” limeanza kuonyesha nyufa na kubomoka, viongozi wao waliona kuna umuhimu wa kuibomoa nyumba hiyo na kuijenga upya. Hivyo…

MWENENDO NA SILKA YA MTUME KABLA YA KUPEWA UTUME

Bwana Mtume –Rehma na Amani zimshukie- alijulikana miongoni mwa jamii yake kwa sifa na tabia zake njema kama vile ukweli, uaminifu, haya, unyenyekevu na upole. Jamii yake ilimkubali na ikampa…

MTUME AMUOA BI KHADIJA

Mara tu baada ya Mtume kurudi kutoka Shamu aliiwasilisha mara moja faida kubwa iliyopatikana kutokana na biashara kwa Bi Khadijah. Bi Khadijah aliifurahia sana faida hiyo ambayo hakuwahi kuipata kutoka…

SAFARI YA PILI YA SHAMU

Bi Khadijah binti Khuwaylid, Bibi mkureshi alikuwa ni mwanamke mwenye tabia njema, anayekubalika na kuheshimika katika jamii ya watu wa Makkah. Mbali na sifa hizi, Bibi huyu alikuwa miongoni mwa…

MTUME NA UCHUNGAJI KONDOO

Historia inatuambia kuwa kazi ya mwanzo kabisa iliyofanywa na Bwana Mtume ilikuwa ni uchungaji wa kondoo na mbuzi. Aliamua kufanya kazi hii ile aweze kupata pesa za kujikimu mwenyewe na…

SAFARI YA MTUME NA AMMI YAKE KUELEKEA SHAMU

Bwana Mtume –Allah amshushie rehema na amani- alipofikia umri wa miaka kumi na nane alisafiri pamoja na ammi yake Abu Twalib kuelekea Shamu. Hii ilikuwa ni safari ya kibiashara. Walipofika…

MALEZI YA MTUME NA KISA CHA KIFO CHA MAMA YAKE

Mtume alifiwa na baba yake kabla hajazaliwa na hakumuachia mali ya kutosha. Mtume alipofikia umri wa miaka minne, mlezi wake na mnyonyeshaji wake Bi Haliymah alimrejesha kwa mama yake Bi…

TUKIO CHA KUPASULIWA KIFUA

Katika kipindi hiki ambacho Bwana Mtume alikuwa chini ya ulezi na uangalizi wa Bibi Haliymah alitokewa na tukio muhimu sana. Hili lilikuwa ni tukio la kupasuliwa kifua chake na kutolewa…

KUNYONYESHWA MTUME

Bwana Mtume- Allah amshushie Rehema na Amani- mara baada ya kuzaliwa alinyonyeshwa na mama yake Bi Amina Bint Wahab kwa siku kadhaa. Kisha akanyonyeshwa na Bibi Thuwaybatul Aslamiyyah ambaye alikuwa…

KUZALIWA KWA BWANA MTUME

Bwana Mtume – Allah amshushie rehma na amani – alizaliwa katika mji wa Makkah, siku ya Jumatatu mwezi wa mfungo sita, mwaka wa tembo sawa na tarehe 20 ya mwezi…