SUNNA ZILIZO NDANI YA SWALA

Zingatia suna hizi zilizo ndani ya swala katika vigawanyo (sehemu) viwili vifuatavyo:- i/. AB-AADH  na ii/. HAY-AAT Hebu sasa, baada ya kujua mgawanyiko wa suna zilizomo ndani ya swala, tuangalie…