Kimaumbile mwanadamu ni kiumbe mwenye tabia ya kuchanganyika kimaisha na wenziwe. Maumbile ya mwanadamu hayakubaliani kabisa na upweke bali kuchanganyika mwanadamu na wanadamu wenziwe katika maisha ya kijamii ni sehemu…
Author: admin
UPOLE
Upole ni dhana ambayo huweza kutofautiana baina ya mtu na mtu, jamii na jamii nyingine, dini na dini kulingana na mtazamo wa mtu/jamii au dini husika juu ya dhana nzima…
MURUA
Murua ni sifa njema ambayo muislamu wa kweli anapaswa kujipamba nayo ili kuweza kuitoa sura ya Uislamu wake nje watu/ulimwengu uweze kuuona Uislamu wake. Kwa hivyo Murua ni mwonzi/kioo kinachotoa…
KUWA NA MSIMAMO
Kuwa na msimamo, hii ni sifa muhimu na ya msingi ambayo ndiyo inayotakiwa iutawale na kuudhibiti utendaji wa kila siku wa muislamu. Kwa hiyo basi, ili muislamu aweze kuutekeleza uislamu…
UNYENYEKEVU
Unyenyekevu ni katika jumla ya sifa njema ambazo zimekusudiwa ziwe ni pambo la muislamu. Tunaweza tukaueleza unyenyekevu kuwa ni hali ya kuizuia na kuiepusha nafsi kuwadharau na kuwaona duni watu…
ADABU NA TARATIBU ZA KULALA
Muislamu hukuona kulala kwa jicho la kuwa ni miongoni mwa neema ambazo Mwenyezi Mungu Mtukufu amewaneemesha waja wake kwa maslahi na manufaa yao ya kimwili, kiakili na kiroho. Tusome na…
ADABU ZA UVAAJI
Muislamu hulichukulia suala la uvaaji kuwa ni miongoni mwa amri za Mola wake. Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu : “ENYI WANAADAMU! CHUKUENI MAPAMBO YENU (vaeni nguo zenu nzuri) WAKATI WA KILA…
ADABU ZA DHIFA (TARATIBU ZA KUMPOKEA MGENI NA KUMKARIBISHA MGENI)
Muislamu Mkamilifu wa Imani anaamini uwajibu wa kumkirimu mgeni wake na kumpa heshima na taadhima anayostahiki kwa mujibu wa sheria. Haya yote ni natija ya kuifanyia kazi kauli ya Bwana…
ADABU/TARATIBU ZA MAAMKIZI NA KUTAKA IDHINI (KUBISHA HODI)
Msingi wa somo hili lililobeba anuani hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu isemayo : “NA MNAPOAMKIWA KWA MAAMKIO YEYOTE YALE, BASI ITIKIENI KWA YALIYO BORA KULIKO HAYO, AU REJESHENI…
