Ikutoshe kuona na kutambua ubaya wa hasadi kwamba Allah alimuarisha Mtume wake Rehema na Amani zimshukie kujilinda na kujikinga na shari ya mtu hasidi sambamba na shari ya shetani. “NA…
Author: admin
BINADAMU NA KAZI
Kazi ni sehemu isiyotengeka ya maisha ya mwanadamu. Allah Mtukufu ameifanya kazi kuwa ndio wasila wa mwanadamu katika kupata maisha (riziki) yake ulimwenguni hapa. Tusome huku tukitafakari. “YEYE NDIYE ALIYEFANYA…
KUMTEGEMA ALLAH
Muislamu halioni suala la kumtegema Allah katika mambo yake kulli {yote} kama ni wajibu wa kimaumbile tu, bali anaona na kuamini kuwa ni fardhi ya dini na itikadi isiyopambanuka ya…
KUIPENDA NCHI (UZALENDO)
Uzalendo, mtu kuipenda nchi yake ni miongoni mwa tabia njema ambazo inatakiwa ziwe ni pambo la Muislam. Tabia hii ina athari kubwa sana katika kuchochea maendeleo ya mtu binafsi na…
MALI NA NAMNA YA KUITUMIA
Hii pia ni miongoni mwa tabia njema ambazo muislamu anapaswa kujijpamba nazo kuhusiana na hili tunasoma: NA UMPE JAMAA (YAKO) HAKI YAKE NA MASIKINI NA MSAFIRI ALIYEHARIBIKIWA, WALA USITAWANYE (mali…
UTUKUFU WA NAFSI / KUJITHAMINI
Uislamu unamtaka muislamu ajithamini mwenywe kabla ya kudai kuthaminiwa na jamii. Yeye mwenyewe aseme kauli au atende matendo yatakayompa thamani na daraja mbele ya Mola Muumba wake, Mtume wa Allah,…
HURUMA
Huruma ni pambo analotakiwa kujipamba nalo muislamu kwa sababu hii ni sifa inayomsaidia kwa kiasi kikubwa sana kuyatekeleza baadhi ya mafundisho ya dini yake. Huruma tunayoikusudia kuizungumzia hapa ni ile…
KUMPENDA JIRANI
Kumpenda jirani, hii ni tabia ambayo Muislamu anatakiwa aijenge, aizoee na kujipamba nayo. Muislamu anapaswa kujua kuwa kumpenda jirani yake ni sehemu ya mafundisho ya dini yake ambayo Uislamu wake…
UKATIKATI WA MATUMIZI (KUTOFANYA UBADHIRIFU)
Chimbuko la somo letu la leo ni kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu ndani ya Qur-ani Tukufu “……….WALA USITAWANYE (mali yako ) KWA UBADHIRIFU HAKIKA WATUMIAO KWA UBADHIRIFU NI NDUGU WA…
KUWA NA AZMA
Chimbuko na msingi wa somo/mada hii ni kauli tukufu ya mwenyezi Mungu Mtukufu ndani ya kitabu chake kitukufu allipomwambia Mtume wake; “… NA UFUNGAPO NIA MTEGEMEE ALLAH (tu ufanye uliloazimia)…
