Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie – alipoona kwamba Makurayshi wanazidi kuendeleza sera yao ya mateso na ukatili dhidi ya maswahaba kwa ajili tu ya kulinda hadhi na heshima…
Author: admin
KERO ZA MAKURAISHI DHIDI YA MTUME
Makurayshi walipoona juhudi zao za kumuendea kiongozi wao Mzee Abu Twalib ili amzuie mwana wa nduguye kuwatukania miungu wao zimegonga mwamba, hazikuzaa matunda yeyote. Na moto wa Daawah ya dini…
KERO ZA MAKURAISHI DHIDI YA MASWAHABA WA MTUME
Kero na maudhi ya Makurayshi hayakuishia kwa Bwana Mtume bali yaliwagusa na kuwakumba pia na maswahaba wake. Makurayshi walipoona kwamba Nabii Muhammad, sasa amezungukwa na kundi kubwa la watu, amepata…
UPINZANI WA MAKURAISHI DHIDI YA MTUME
Uislamu ukazidi kusambaa katika mji wa makkah na khabari zake kuenea pande zote za mji huo, na watu wakaingia katika uislamu makundi kwa makundi. Hapa ndipo Mtume-Rehema na Amani zimshukie…
KULINGANIA KWA DHAHIRI
Ilipita miaka mitatu il-hali Mtume wa Mwenyezi Mungu akiulingania Uislamu kwa siri. Maswahaba wa Mtume – Allah awawie -Allah amuwie radhi wote – pia hawakubakia nyuma bali walikuwa bega kwa…
WAISLAMU / WAUMINI WA MWANZO
Natija ya ulinganiaji wa siri wa Bwana Mtume –Rehema na Amani zimshukie – ilikuwa ni kuingia katika uislamu baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zake na kuwafanya ndio waumini wa…
KULINGANIA DINI KWA UFICHO
Baada ya kukatika mawasiliano baina ya mbinguni na ardhini kwa kipindi kirefu, kiasi cha kumfanya Bwana Mtume kuwa na wasiwasi wa kutopata tena mawasiliano hayo. Ni katika kipindi hiki ndipo…
KUPEWA UTUME
Mtume Muhammad – Rehema na Amani zimshukie – alipofikia umri wa ukamilifu, umri ambao akili ya mwanadamu huwa imepevuka na kukomaa, umri wa miaka arobaini. Huu ukawa ndio wakati muafaka…
MTUME AFANYA IBADA KATIKA PANGO LA HIRAA
Mtume wa Mwenyezi Mungu – Rehema na Amani zimshukie – alipokaribia umri wa miaka arobaini alipenda kukaa peke yake faraghani na kujitenga na jamii yake; jamii ya watu wa Makkah.…
VITA VYA FUJJAAR NA VIAPO VYA NUSRA
Bwana Mtume – Rehma na Amani zimshukie – alijenga moyo wa kushirikiana na jamii yake katika kazi zote za ujenzi wa jamii yake kama tulivyoona namna alivoshiriki katika ujenzi wa…
