MAAGANO YA PILI YA AQABAH

Msimu uliofuatia wa Hijjah, Uislamu ulikuwa tayari umeenea kwa kiasi kikubwa katika mji wa Yahrib (Madinah). Katika kundi kubwa la Mahujaji kutoka Yathrib lililowajumuisha pamoja waislamu na mushrikina, walikuwemo waislamu…

MAAGANO YA KWANZA YA AQABAH

Katika mwaka uliofuatia kundi la watu wasiopungua kumi na mbili kutoka (Madinah) lilikuwa ni miongoni ma uma uliohudhuria msimu wa Hijjah kutoka pande mbalimbali za bara Arabu. Kundi hili lilikusanya…

MTUME AANZA KUKUTANA NA MAKABILA

Baada ya safari ya Twaif, Bwana  Mtume – Rehema na Amani zimshukie – alirejea Makkah na kuuwahi msimu wa Hijja. Makabila mbalimbali ya waarabu kutoka pande mbalimbali huja Makkah katika…

SAFARI YA ISRAA

Mwaka   wa huzuni  ambamo Mtume  aliipoteza  mihimili  yake miwili; muhimili wa ndani, mkewe  Bi Khadijah  na Muhimili  wa nje Ami  yake Mzee Abuu  Twaalib; Upasito wa   watu wa Makkah na…

BWANA MTUME AENDA TWAIF

Kitambo kifupi baada ya Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie- na jamaa zake kutoka katika kambi ya Mzee Abuu Twaalibu ambako wali zuiliwa na kuondoshwa kwa vikwazo dhidi ya yalitokea matukio…

MWAKA WA HUZUNI

Kitambo kifupi baada ya Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie- na jamaa zake kutoka katika kambi ya Mzee Abuu Twaalibu ambako wali zuiliwa na kuondoshwa kwa vikwazo dhidi ya yalitokea matukio…

KUONDOLEWA KWA VIKWAZO NA KUTENGULIWA KWA AZIMIO

Tumetangulia kueleza katika masomo yaliyotangulia kwamba vikwazo vya makurayshi dhidi ya Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshuke – jamaa zake Baniy Haashim na Bariy Mutwalib waumini na wasio waumini…

HIJRA YA PILI YA UHABESHI

Baada ya Mtume – Rehema na Amani zimshukie – kuingia kambini katika boma la Mzee Abu Twaalib, yeye na jamaa zake kufuatia vikwazo vya Makurayshi dhidi yao, Bwana Mtume aliwaamrisha…

MTUME AWEKEWA VIKWAZO

Makurayshi walipoona na kutambua kuwa njia, mbinu na hila zote walizozitumia ili kupambana, kuzuia na hatimaye kuliua kabisa wimbi la harakati za dawah ya Bwana Mtume zimegonga ukuta, hazikuzaa matunda…

KUSILIMU KWA HAMZA NA UMAR

Kwa upande mwingine adhabu, mateso, maudhi na makero ya Makurayshi kwa waislamu yaliwaletea faraja waislamu. Mateso na makero haya ndiyo yaliyokuwa sababu na changamoto kubwa ya kusilimu mtu mkubwa, mwenye…