MKATABA BAINA YA MTUME NA MAYAHUDI

Tumeona kwamba miongoni mwa wakazi wa Madinah yalikuwemo makundi ya Mayahudi. Mayahudi hawa walikuwa si watu wa kupuuzwa hata kidogo, kwani walikuwa na nguvu za kijeshi na kiuchumi, Bwana Mtume…

HIJRA YA MTUME ILIKUWA KWA AJILI YA DA’WAH

Imetubainikia bayana katika somo lililotangulia kwamba makurayshi katika upinzani wao wa mtume walikuwa hawaitetei imani yao bali walikuwa wakijaribu kulinda utawala wao na maslahi yao na hatari hii ya kuanguka…

HIMAYA / ULINZI WA ITIKADI (IMANI)

RISALA YA NABII MUHAMMAD ILIKUWA NI KWA WATU WOTE LAKINI MAKURAYSHI WALIWEKA KIZUIZI (PINGAMIZI) Hapana shaka kwamba dhima kuu ya Mtume- Rehema na Amani zimshukie – ilikuwa ni kufikisha ujumbe…

AHLUL BAYT WAHAMIA MADINA

 Amesema Ibn Sa’ad – Allah amrehemu: “Mtume wa Allah alimtuma huru wake Zayd Ibn Haarithah na Abuu Raafii kwenda mjini Makkah kuwahamisha Ahli zake na akawapa ngamia wawili na Dir-ham…

HOMA YA MADINA

Wakimbizi wa haki “Muhajirina” walipofika Madinah kwa mara ya kwanza, walisumbuliwa na hali ya hewa ya uhamishoni. Hali hii ya hewa iliyotofautiana kwa kiasi kikubwa na hali ya hewa ya…

KUANZA KWA ADHANA

Wakati wa swala ulipowadia alilingana mlinganiwa Mtume wa Allah – rehema na Amani zimshukie – akawaita watu kuja kuswali kwa kusema “Asswalaatu Jaamiah,” basi watu wakakusanyika kwa ajili ya swala.…

KAMBI YA QUBAH NA UJENZI WA MSIKITI

Khabari ya Mtume wa Allah  – Rehema na Amani  zimshukie kutoka Makkah kuelekea Madinah ziliugubika mji mzima wa Madinah. Wenyeji wa mji huu Answaar wakawa waunguzwa na shauku ya kukutana…

BWANA MTUME ATOKA MAFICHONI NA KUELEKEA MADINA

Makurayshi walipokata tamaa ya kumtia mbaroni Mtume wa Allah na kuamini kwamba tayari atakuwa nje ya mipaka ya himaya yao. Hapo ndipo Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie –…

HIJRAH YA MTUME KUTOKA MAKKAH KWENDA MADINAH

Makurayshi  walifanya kikao chao hiki kiovu katika mazingira na hali ya uficho na siri kuu ili kuhakikisha kuwa maamuzi yatakayofikiwa hayavuji na kuwasambaa. Kwani hili halitamaanisha kingine zaidi ya kushindwa…

HIJRA YA MADINA / WAISLAMU WAHAMIA MADINA

Makurayshi walihisi khatari inayowanyemelea ikiwa ni natija ya yale maagano ya pili ya Aqabah. Katika maagano haya Answaar (wenyeji wa Madinah) waliagana na Mtume wa Allah yeyote awaye atakayemzuia kuufikisha…