NATIJA YA VITA VYA BADRI

UGOMBEZI WA NGAWIRA. Ngawira walizozipata waislamu katika vita hivi zilikuwa ni nyingi ikiwa ni pamoja na ngamia, vyombo, mabusati ya ngozi, nguo na ngozi nyingi walizozichukua kwa ajili ya biashara.…

UTAJO WA PEPO WALIPUA MORI NA KUAMSHA ARI YA MAPAMBANO

Upepo wa pepo ya Allah ukawavumia waislamu katika uwanja wa mapambano, maisha ya ulimwengu huu wakayaona hayana thamani. Kufa shahidi kukawa na ladha mno kwao kuliko kitamu cho chote ukijuacho.…

BWANA MTUME AKUBALI USHAURI WA MASWAHABA

Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-ndiye aliyekuwa na imani thabiti kushinda watu wote kwamba ushindi na nusra ya Allah itakuwa upande wao. Maswahaba wake wakapatwa na usingizi wakalala kutokana na uchovu…

MAKURAISHI WATOFAUTIANA

Makurayshi kwa upande wao walitoka wakubwa na watukufu wao takriban wote katika mandhari inayoonyesha ubabe na mbwembwe nyingi. Mandhari inayoieleza wazi azma yao ya kumsagasaga Mtume na maswahaba wake. Watu…

MTUME WA ALLAH AFICHA DHAMIRA YAKE

Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-akasonga mbele na maswahaba wake mpaka akafika katika bonde la Badri. Hapo akapiga kambi kando ya bonde lililo karibu na Madinah. Bwana Mtume alikuwa katika hadhari…

ABU SUFYAAN AHIMIZA MAKURAISHI KUENDA KUIHAMI MALI YAO

Khabari za Mtume kuuvizia msafara wa Makurayshi utokao Shamu kurejea Makkah kupitia Madinah zilivuja na kumfikia Abuu Sufyaan; kiongozi wa msafara ule. Bila kuchelewa Abuu Sufyaan akamtuma mjumbe kwenda mjini…

BWANA MTUME AUFUATA MSAFARA WA MAKURAISHI

Msafara alioutokea Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-katika shambulio (Ghaz-wah) la Ushayrah, ulikuwa ndio msafara mkubwa na wenye mali nyingi sana kuliko misafara yote iliyotangulia. Khabari zikamfikia Bwana Mtume kwamba tayari…

QUR-AN YAWATETEA WAUMINI

Hali ilipofikia hatua hiyo ndipo ulipokuja uokovu na msaada kutoka mbinguni. Wahyi ukamshukia Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-kwa kauli yake Allah Mola Mtukufu: “WANAKUULIZA (hukumu ya) KUPIGANA VITA KATIKA MIEZI…

VIKOSI VYA UJASUSI VYATUMWA KUCHUNGUZA NYENDO ZA MAADUI

Wanasira na wanatarekh (wanazuoni wa fani za Sira naTarekh) wana istilahi (terminologies) wanazozitumia wanapoandika habari zihusianazo na vikosi vya vita vya Mtume.  Hutumia neno “sariyah” kumaanisha kikosi cha vita ambacho…

RUHUSA YA KUPIGANA VITA

UISLAMU HAURUHUSU VITA ILA KWA AJILI TU YA KULINDA NA KUTETEA IMANI. Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-aliendelea kulingania dini kwa nguvu za hoja na kubashiri na kukhofisha katika mji…