Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-akafunga bendera tatu. Akaitoa bendera ya Ausi akampa Usaid Ibn Hudhwayri aibebe na kuipeperusha yeye. Bendera ya khazraj akampa Al-Hubaab Ibn Al-Mundhir na ile ya…
Author: admin
MTUME ASHAURIANA NA MASWAHABA WAKUTANE WAPI NA ADUI
Mtume wa Allah–Rehema na Amani zimshukie-akatuma wapelelezi wake kupeleleza khabari za mahasimu wake. Wakarudi na kumpasha khabari kwamba wamepiga kambi katika bonde la Uhud, wakamkadiria idadi yao na utayarifu wao. …
VITA VYA UHUD-MAKURAYSHI WAANZA KUJIANDAA KWA AJILI YA VITA
Fikra waliyokuwa wakiifanyia kazi makurayshi tangu kumalizika kwa vita vya Badri. Ilikuwa ni kukusanya nguvu zake zote, kwa lengo la kuelekeza pigo la kuvunjavunja litakalommalizia mbali Bwana Mtume na maswahaba…
SHAMBULIZI LA SAWIYQ
MAKURAYSHI WAFANYA JARIBIO LA KUREJESHA HESHIMA YAO ILIYOPOTEA KWA KUSHINDWA KWAO KATIKA VITA VYA BADRI. Ulipoingia mwezi wa Dhul-Hijjah (Mfunguo wa tatu) yaani baada ya kupita takriban miezi miwili na…
KUUAWA KWA KA’BU IBNUL-ASHRAF
Yahudi Ka’ab Ibn Al-Ashraf akarejea Madinah kutoka Makah alikokwenda kuchochea fitna na uadui dhidi ya Mtume na waislamu. Akarudi hali ya kuwa uadui na chuki yake kwa Mtume wa Allah…
BANIY QAYNUQAI-MAYAHUDI WA KWANZA KUDHIHIRISHA UADUI
Mayahudi wa kabila la Baniy Qayunqaa, ndio waliokuwa wa mwanzo kabisa kuwadhihirishia waislamu uadui. Hii ni kwa sababu wao ndio waliokuwa mashujaa kuliko makabila yote ya kiyahudi na ndio walikuwa…
ATHARI YA VITA VYA BADRI
VITA VYA BADRI VILIIMARISHA NGUVU YA WAISLAMU MADINAH. Vita vya badri vilileta athari ya kina si tu kwa waislamu bali hata kwa maadui zao; mushrikina, wanafiki na watu wa kitabu…
WAISLAMU WALIKUWA CHINI YA UONGOZI WA BUSARA
WAISLAMU WALIKUWA CHINI YA UONGOZI WENYE HURUMA NA BUSARA, WAKATI AMBAPO MUSHRIKINA WALIKUWA CHINI YA UONGOZI MPUMBAVU (USIO NA BUSARA) WENYE KIBURI. Tukichukulia kwamba Abuu Jahli ndiye aliyekuwa kiongozi wa…
FIDIA YA ABUL-AASWI
Miongoni mwa mateka alikuwemo Abul-Aaaswi Ibn Rabee, huyu alikuwa ni mkwewe Mtume kwa bintie Zaynabu. Ibn Is-haaq-Allah amrehemu–anasema: “Abul-Aaswi alikuwa ni miongoni mwa watu wa Makah walio wachache wa mali,…
BWANA MTUME AAMURU KUUAWA KWA MATEKA WAWILI
Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie akaondoka pale Rauhaa alipolakiwa na maswahaba wake kuendelea na safari yake ya Madinah. Alipofika mahala panapoitwa “Al–Uthayl” akawakagua mateka na akaamuru kuuliwa wawili miongoni mwao…
