MASHAHIDI WA RAJII

Tukio la kuuawa kwa hila kwa kiongozi wao lilikuwa kubwa sana katika nyoyo za watu wa kabila la Hudhayl, wakaanza kutafuta mbinu za kulipa kisasi. Baadhi ya watu wa makabila…

KABILA LA KHUZAA LILITOA MCHANGO MKUBWA SANA KATIKA KUWAKATISHA TAMAA MAKURAYSHI

Katika jumla ya misaada ambayo Allah aliwapa waislamu ni kwamba kabila la “Khuzaah” lilikuwa limeandikiana mkataba wa amani na ushirikiano na Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie. Ma’abad Mkhuzai alimpitia Bwana…

MSHAHIDI HAWAFI

Naam, ni kweli isiyo na shaka kwa kila muumini kwamba mashahidi wale waliokufa katika vita vya Uhud kwa ajili ya kuipigania dini ya Allah. Na wale wote watakaokufa kwa ajili…

MAFUNZO YA JUU WANAYOPATA WAISLAMU KUTOKA VITA VYA UHUD

Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-katika vita hivi aliwapatia maswahaba wake bali uma mzima wa kiislamu masomo ya juu kabisa katika nyanja za:- ü      Kuheshimu shura (ushauri na maoni ya…

WAISLAMU WALISAMBARATIKA NA KILA MMOJA ALISHUGHULIKA NA YA KWAKE

Na tukio jingine miongoni mwa matukio yaliyoonyesha udhaifu katika safu za waislamu, yaliyofichuliwa na kushindwa katika vita hivi. Ni kwamba adui alipowazingira na kuwaweka kati, hawakuungana na kushikamana pamoja. Bali…

MAZINGATIO (ITIBARI) KUTOKA VITA VYA UHUD

1.      KUSHINDWA KATIKA VITA VYA UHUD KULIKUWA NI DARASA (FUNDISHO/SOMO) MUHIMU KWA WAISLAMU WOTE KWA UJUMLA WAO. Mtu atakayetafakari kwa kina hali ya mambo ilivyokuwa katika vita vya Uhud, na…

BWANA MTUME APELELEZA WANAKOELEKEA MAKURAYSHI

Baada ya kurushiana maneno na waislamu, Abuu Sufyaan akageuza hatamu za farasi wake na huyoo akashika njia kurejea kwa watu wake. Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-akapendelea kujua Makurayshi wanaelekea…

HIMA YA MAKURAYSHI KATIKA VITA HIVI ILIKUWA NI KUMUUA MTUME

Makurayshi wanne walifunga ahadi ya kumuua Mtume wa Allah katika vita hivi na mushrikina wenzao walilitambua hilo. Hawa walikuwa ni Abdullah Ibn Shihaab, Utbah Ibn Abuu Waqaasw, Amrou Ibn Qamiah…

MTUME ATHIBITI MBELE YA ADUI AKIWA NA KUNDI LA MASWAHABA WALIOMUAHIDI KUFUNGAMANA NAE MPAKA KUFA

Ama Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alisimama imara mbele ya adui akipambana nae mpambano wa kufa na kupona. Akamnyeshea adui mvua ya mishale mpaka ikamuishia na upinde wake ukakatika kutokana…

KUMALIZIKA DAURI YA KWANZA

Vita vikaanza rasmi kwa ‘mubaraza’; mtu wa upande huu akipambana na yule wa kule na waliobakia wakishuhudia. Akatoka mtu mmoja katika safu za washirikina akitaka mtu wa kupigana nae kwa…