VITA VYA AHZAAB

Mtume wa Allah autia ngomeni mji wa Madinah kwa kuchimba handaki kubwa kuzunguka  sehemu zote zilizo na upenyo. Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alipozijua khabari za jeshi hili shirika, akaitisha…

SOMO LA KWANZA – VITA VYA AHZAABU (KHANDAQ).

Mapenzi ya kuangamiza ndiyo yaliyowasukuma Mayahudi  kukusanya makundi (Ahzaabu) ya Waarabu dhidi ya Mtume na maswahaba wake. Mapenzi ya kuangamiza ndiyo yaliyowasukuma Mayahudi  kukusanya makundi (Ahzaabu) ya Waarabu dhidi ya…

NI WAJIBU WA WAUMINI KUWA NA DHANA NJEMA KUWAELEKEA WAUMINI WENZAO NA WASIWE NYUMA YA UZUSHI NA UVUMI.

Hapo ndio aya zikawapa waumini somo yenye kwenda mbali mno mafundisho yake katika namna waliyotakiwa kuwa  katika mfano wa matuko haya yenye khatari. Ilikuwa ni wajibu wa waumini kuwadhania vema…

UZUSHI NA UONGO USIOJUZU HATA KWA MWANAMKE WA KAWAIDA TU SEUZE MKE WA MTUME WA ALLAH!

Uzushi na uongo huu haukupasa kujuzu hata kwa mwanamke duni tu hata awe mpumbavu kiasi gani kuudhihirisha uchafu wake wazi wazi kiasi hicho. Na aje namna hivi katika weupe wa…

HADITHI YA UZUSHI

Ama tukio la pili ni lile tukio la uzushi na uwongo dhidi ya Bibi Aysha-Allah amuwiye radhi-kwa jambo ambalo Allah alimtakasa nalo. Tukio hili linaanzia pale ambapo Mtume wa Allah-Rehema…

SIKIO SIKIVU

Miongoni mwa watu waliokuwa mbele ya mpishi wa fitna hii iliyokurubia kuwagawa waislamu kwa misingi ya Umakkah na Umadinah. Alikuwa ni kijana mdogo ambaye bado hajafikilia baleghe; Zayd Ibn Arqam,…

VITA VYA BANIL-MUSTWALAQ

Mnamo mwezi wa Shaaban wa mwaka huo huo wa tano Hijiria (Desemba 626 A.D.), Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alitoka kuwaendea Banil-Muswtwalaq. Hawa ni katika ukoo wa Khuzaa, kiongozi wao…

SOMO LA TATU-VITA VYA PILI VYA BADRI

Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alipowasili Madinah akitokea kwenye vita vya Dhaatir-riqaa, alikaa hapo siku zilizobakia za mwezi wa Jumaada-Uula (mfunguo nane), Jumaadal-Aakhirah (Mfunguo tisa) na Rajabu (Mfunguo kumi). Akatoka…

BWANA MTUME AGAWA NGAWIRA ZA BANIN-NADHWIYR KWA MUHAJIRINA PEKE YAO

Mwanachuoni mwenye kitabu AL-IMTAA-Allah amrehemu-amesema: [Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alipoichukua ngawira mali ya Banin-Nadhwiyr. Alimtuma Thabit Ibn Qaysi kuwaita Answari wote (wenyeji wa Madinah). Walipoitika wito wake, akasimama na…

BWANA MTUME ACHELEA USALITI WA MAYAHUDI NA AWAJARIBU ILI KUJUA DHAMIRA YAO.

Vita hivi vya Banin-Nadhwiyr ni miongoni mwa athari zilizotokana na vita vya Uhud. Vita hivi vilitokea katika kile kipindi kigumu ambacho waislamu bado walikuwa wakipatwa na machungu yaliyotokana na kushindwa…