KUSILIMU KWA ABUL-AASWI

I.          Kusilimu kwa Abul-Aaswi:  Abul-Aaswi akaenda zake Makkah, alipofika huko akampa kila mwenye mali, mali yake, halafu akauliza: “Je, kuna ye yote miongoni mwenu ambaye hajachukua mali yake kwangu?”, wakajibu:…

USHUJAA WA SALAMAH IBN AL-AKWAA

Kwa hakika Salamah Ibn Al-Akwaa-Allah amuwiye radhi-alidhihirisha ushujaa mkubwa katika vita hivi, ushujaa uliompelekea Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-kummwagia sifa, akisema: “Bora ya askari wapanda farasi wetu leo ni…

MGAO WA MALI NA MATEKA

Baada ya kumazika kazi ya kuwaua wasaliti, ndipo Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alipowagawia waislamu mali za Baniy Quraydhwah pamoja na wake na watoto wao. Akawapeleka Shaam na Najid baadhi…

AUSI AWAOMBEA SHAFAA BANI QURAYDHWAH

Naam, hivyo ndivyo ilivyomalizika kadhia ya Abuu Lubaabah. Ama Baniy Quraydhwah baada ya kukataliwa maombi yao yote, hawakuwa na uchaguzi tena ila kujisalimisha kwa Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie.…

BANI QURAYDHWAH WAZINGIRWA

Kwa sababu zote hizi na kwa kuyazingatia yote yaliyojiri, Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-aliharakisha kuwazingira Baniy Quraydhwah siku ile ile yaliyoondoka Madinah majeshi shirika (Ahzaab). Aliona ni wajibu wa mwanzo…

USALITI NA UVUNJAJI WA AHADI WA BANIY QURAYDHWAH NDIO UPENYO WALIOPITIA WAISLAMU (NDIO SABABU YA VITA VYA AHZAAB)

Hapana shaka kwamba msaada wa ki-Mungu ndio uliowaokoa waislamu katika vita hivi vya Ahzaab na kwamba lau si kuja kwa msaada huu, kumalizwa kwa waislamu lingekuwa ni jambo lisilozuilika. Na…

JESHI LA ALLAH

Ni katika wakati huu ambamo mafungamano yalichangukana, ukweli/uaminifu baina ya majeshi shirika na nafsi zikakimwa kwa kukaa muda mrefu. Ndimo Allah Taala aliyapelekea majeshi shirika upepo mkali katika usiku unyeshao…

HUJUMA KUU NA MIZINGIRO MIKALI (AHZAAB)

Mushrikina wakaja siku iliyofuatia wakiwa wamewakusanya watu wao na kuvitapanyia vikosi vyao kila upande. Upande aliokuwa Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-wakapeleka kikosi kikali ndani yake akiwemo shujaa wao Khalid…

BANY QURAYDHWAH WAVUNJA AHADI (AHZAAB)

I.   Baniy Quraydhwah wavunja ahadi yao: Kukarepa kungojea na kusubiri kwa majeshi shirika (Ahzaabu) na kukawa hakuna kinachoendelea baina yao na waislamu ila kurushiana mishale na kutupiana mawe kwa mbali. Huyay…

HANDAKI HILI LIKAWA KIKWAZO KIKUBWA KWA MAJESHI SHIRIKA (AHZAABU)

Waislamu wakaifanya kazi ya uchimbaji wa handaki mpaka waka ikamilisha kwa ufanisi mkubwa. Wakalipanua, wakaliendesha kina mpaka likafikia mahala pa kumshinda farasi aliye hodari kulivuka.  Wakaweka kizuizi imara na mawe…