SALAMU YA KWANZA

Kutoa salamu ni ule ugeukaji wa kutumia shingo tu wa mwenye kuswali kuliani kwake il-hali akisema …………ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH Nguzo hii ni natija ya kauli ya Bwana Mtume – Rehema…