KUSILIMU KWA HAMZA NA UMAR

Kwa upande mwingine adhabu, mateso, maudhi na makero ya Makurayshi kwa waislamu yaliwaletea faraja waislamu. Mateso na makero haya ndiyo yaliyokuwa sababu na changamoto kubwa ya kusilimu mtu mkubwa, mwenye…