YALIYO KARAHA KATIKA UDHU

1. Ni karaha kwa mwenye kutawadha kuacha suna yeyote miongoni mwa suna tulizozitaja chini ya anuani :{SUNA ZA UDHU}.  Kwa sababu kuacha kuzitekeleza suna hizo kutampelekea mtu huyo kukosa thawabu,…