YALIYO HARAMU KWA ASIYE NA UDHU

Ni haramu kisheria kwa mtu asiyekuwa na udhu kufanya mambo yafuatayo : –   1. Kuswali swala yeyote ile iwayo; ya faradhi, ya suna, au swala ya maiti, au sijida…