WITO WA SWALA ZISIZO ZA FARADHI

Imethibiti kutokana na maelezo yetu yaliyotangulia kwamba adhana na iqaamah ni suna zilizokokotezwa (Muakadah) kwa swala za fardhi. Ama swala nyingine zisizo za fardhi na ambazo zimesuniwa kuswaliwa jamaa mithili…